Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Read btn the Lines, U'll understand my meaning.Na wewe ni single mom?
Nakuunga mkono kaka, ila kama mmewe amefariki naona sio issue sanaIla hizi ndoa za kuoa wenye watoto zina changamoto mie nimeshuhudia kwa macho yangu
Huo ndio mpango mzima. Mabikra wapo mtu asikudanganye. Nakuomba ujipe muda utafanikiwa.Mimi nitaoa bikra tu maana hamna namna
Mwanamume huyo yaani anakwepaje gharama?Hv single mothers wanatokana na uzembe wao au ni wanaume kukimbia majukumu?? Hv ingekuwa kila mwanaume anawajibika kwa matendo yake kungetokea na single mothers....yan kabisa kuna mwanaume na akili zake timamu kapachika mimba halafu kakimbia, mwingine ameona isiwe shida ngoja nilee mnamwona mjinga?? Kosa ni kuwajibika kwa matendo yake au kosa ni kuamua kuzaa badala ya kuitoa?? Hebu tubadilike jamani,
Iwapo hiyo stimu ni kuwa bado unasokota,Uko sahihi kabisa mkuu,
Ni bora kuoa asiye na mtoto ila kazitoa za kutosha.
Sijavuta, ndo kwanza nasokota
Tatizo mnapenda sana kugeneralize. Wanaume wenye upendo wapo na wenye fake love wapo pia. Ukikutana na mbaya usiseme wote ni wabaya. Naomba ubadilishe mtazamo wako kuhusu wanaume.Read btn the Lines, U'll understand my meaning.
Siyo sahihi...ni malaika wa Mungu na hana hatia...waambie tu.Hahaaa. Hivyo mtoto ndio makombo ama?
Kama ni kweli wewe sio single mother hongera,sasa mimi kuwa na msimamo kwamba siwezi kuoa single mother ni dhambi???
R
Ushauri wako uliomwambia kwamba "be careful" ndio anaouzingatia kwa kuhakikisha kwamba anaanza vizuri kwa kuwaepuka kabisa hao single mothers maana watamwekea mfano mbaya nyumbani kwake. Atawezaje kumwonya binti yake kuhusu mimba bila ndoa wakati binti anaona kabisa mama yake ndiyo aliyoanza nayo?
Tupe mkasa huoIla hizi ndoa za kuoa wenye watoto zina changamoto mie nimeshuhudia kwa macho yangu
Tatizo wanawake wanategesha mimbaHv single mothers wanatokana na uzembe wao au ni wanaume kukimbia majukumu?? Hv ingekuwa kila mwanaume anawajibika kwa matendo yake kungetokea na single mothers....yan kabisa kuna mwanaume na akili zake timamu kapachika mimba halafu kakimbia, mwingine ameona isiwe shida ngoja nilee mnamwona mjinga?? Kosa ni kuwajibika kwa matendo yake au kosa ni kuamua kuzaa badala ya kuitoa?? Hebu tubadilike jamani,
ExactlyHuo ndio mpango mzima. Mabikra wapo mtu asikudanganye. Nakuomba ujipe muda utafanikiwa.
Lkn hawa waliofanyiwa mazoezi wakaachwa ni wanawake pia lkn ukiamua kuoa mmoja wao uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
Kwa hiyo kumbe single mothers sio wake wemaMke mzuri hutoka kwa Mungu, na Mungu ni msikivu ukimuomba akuepushe na single mother akupe mke bora atakupa tu. Lakini si kwa kukandia viumbe vyake nwache yeye Mungu awahukumu kwa dhambi zao.
Ukikuwa utapata akili ndugu haya ni maisha sio mashindano ulijiuliza je ulokuwa nae we ndio mwanaume wa kwanza kwake? Acha ujinga hata Dada yako hatokuwa mkamilifu,unisamehe yawezekana hats mama ako anaolewa hakuwa mkamilifu kama binti.chunga ulimi wako kichwa kitabaki salamaKwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.
Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.
Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.
Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!
Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?
Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.
NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.
Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!
Poleni single mother.
Akili za kijingaMakombo kiaje nielewesheni basi?
Sasa wewe ni swa unaanza Mechi na goli limeshafungwa haiwezekani hyo kabysaKwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.
Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.
Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.
Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!
Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?
Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.
NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.
Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!
Poleni single mother.