Tangazo limefika Na limesikika
 
Wengi wa single mothers ni wanaharakati.endeleeni tu na uanaharakati wenu.msipoangalia na watoto wenu wa kike watawaiga.

Wengi utawasikia wako kwenye genda mara haki za binadamu . mapovu kibao
 
kazi kwelikweli ila jamani tuwe tunaweka akiba maneno yetu badala ya kuwanyooshea vidole wenzetu tujiangalie na sisi tunatimiza wajibu wetu, hao single mother hawajatokea tu hewani , kumbuka hao tunawaita single mother ni dada wa mtu, mama wa mtu na n.k
 
Kuoa single mother lazima kwanza na wewe muoaji uwe na watoto kama wawili nyumbani wa mama tofauti.
 

Mkuu iko hivi.

JF hakuna mwanaume hata mmoja aliyelelewa na mama tu ( single mom) wote wamelelewa na wazazi wao wote wawili (baba na mama) tena ndani ya ndoa[emoji12]

JF hakuna wanaume waliozalisha wanawake iwe kwa kupanga au kwa kushtukiza kisha wakawatelekeza. Wanaume wa aina hii JF hakuna kabisa wote wameoa na wamezaa na wanalea familia zao vizuri kabisa kwa ambao hawajaoa basi wako kwenye mchakato wa kutafuta wachumba kwa kufuata maadili safi kabisa ya jamii. [emoji12]

JF hakuna wanaume wenye madada au mabinti au ndugu zao wakike waliozalishwa wakiwa majumbani. Wanaume wa JF wote dada zao na mabinti zao wako vizuri kabisa [emoji12][emoji12][emoji12]

Kwa kuhitimisha basi ujue tu JF imejaa wanaume waliotoka katika sayari nyingine kabisa na siyo sayari hii ya dunia. Ndio maana mtoa post ameandika bila wasiwasi kwa kuwa yuko sayari ya tofauti na hii yetu tunayoishi mimi na wewe. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Single Maza tena ........

Sijui hii league itaisha lini?

Kiuhalisia Single Maza hana shida yoyote, isipokua mtoto/watoto wake ndo wanaweza wakaleta shida kubwa sana

Wewe mwanaume ukishindwa kuendana na matakwa ya mtoto wake, mtoto huyo ataanza kuleta figisu kwa Mama yake na Mama kama mlinzi mkubwa wa mtoto kuliko Mume ataanza kujihami mapema.

Kifuatacho ni kale kawimbo ka UEFA CHAMPIONS LEAGUE!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…