Kumbuka mnakua wawili na hayo mapenzi ni ya kuigiza tu ili aonewe huruma
 
Wengi wa single mothers ni wanaharakati.endeleeni tu na uanaharakati wenu.msipoangalia na watoto wenu wa kike watawaiga.

Wengi utawasikia wako kwenye genda mara haki za binadamu . mapovu kibao
Mfano joyce Kiria
 
Sasa ndo hivyo wakaolewe na waliowapa mimba mimi binafsi sijawah kumpa mimba mwanamke then nikamuacha
 
Duke Tachez karma ni mbaya sana hapa duniani, kutokana na maneno yako hayo usishangae Dada zako na mabinti zako wakiwa single mother’s
Dada angu sky sikiliza lazima Hawa dada zetu tuwaambie ukweli ili wawe wanajitunza, mwanamke kaniacha kisa sina hela kaenda kuzaa huko, katembea na Wanaume wasiohesabika leo anaona natembelea gari ya milion 70,nina nyumba nzuri anakuja na kilio nimuoe, ungekuwa wewe mwanaume ungefanyaje??
 
Kulelewa na single
mother haimaanishi kwamba ndo
uoe single mother, eti tu kwasababu mama yako na dada zako ni single mothers, wewe wa wapi wewe
kila mtu ana vipaumbele
 
Unaweza ukamlipia ada mtoto wake halafu toto haliendi shule au linafeli ukilichapa utaambiwa baba wa kambo una roho mbaya
 
Sasa ndo hivyo wakaolewe na waliowapa mimba mimi binafsi sijawah kumpa mimba mwanamke then nikamuacha
Ndio maana nimesema kuna watu hawataki kutimiza majukumu yao, inawezekana akawa ni ndugu yako kwenye familia,ukoo, rafiki na n.k, hivyo tuache kuwalaumu na kuwanyoonyea vidole hata wao hawakupenda iwe hivyo,kuliko kuandika thread yenye maneno makali na kuwalaumu ni bora kuombea familia yako Mungu akujalie yasikupate hayo kumbuka siku moja utakuwa mzazi, maneno huumba
 
Kuna wengine wameyataka wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…