Hivi hata modes kwanini wanaiacha thread ya udhalilishaji hivi?
 
Kwahy unashaur tuwaoe hivohivo?
 
Ungekuwa Na busara ungempasha uyo aliyokufanyia hayo afaham ya moyon mwako ila unajumlisha wote kuna wanawake wamepitia magumu na walikuwa wanajitunza Sana au ungeleezea aliyokufanyia kisha ubwabwaje maneno yako ya ovyo.
Leo nmeona comment yako mara ya kwanza
 
Nyuzi za Single moms ni nyingi sana humu... Mods mnaonaje mkaziunganisha ikawa ni
SINGLE MOMS SPECIAL THREAD.
Ili mvulana yeyote mwenye povu lake anakua anaenda huko analimwaga weeeeeh kisha anatoka.
Hahaa hahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Chunga kauli mkuu, utajuta
 
Angalia sana sayari uliyopo usije ukaiharibu usiige mambo ya sayari yetu ya dunia wewe baki huko huko sayari tulivu. Hongera sana
Asante na kusema ukweli sijawah kumpa mimba mwanamke then nikamuacha au nikakataa mimba na muumba anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…