Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize mama yako plzz,,,,,,usije kujutia badae,,,tulia utampata mwingine atakayekuwa hana pingamizi ata Kwa wazazi,,,,, kumbuka wazazi ni Muungu wetu wa duniani
Mshukuru Mungu, yupo mzazi ambaye anakupigania usijeingia huo mkenge wa kuoa single mother, utajuuuta!Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nasoma maoni ya wadau tuu mana mi pia nna mpango wa kuoa mdada mwenye mtoto lkn yy jamaa ake alishatangulia mbele ya haki
Mkuu humu Kuna watu wengi wazima na wenye busara zao,sio mbaya nikipata ushauri wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi story dada yangu.Love knows no bounds.
She has a child yes, a little human being and you love her as she is.
Marry her.
Mi nasoma maoni ya wadau tuu mana mi pia nna mpango wa kuoa mdada mwenye mtoto lkn yy jamaa ake alishatangulia mbele ya haki
Heri yako mkuu, ila baba mwenye mtoto akiwepo, ndo huwa panaleta shida kidogo maana hapo mtoto bado atakuwa anawaunganisha. Hapo na kuchapiwa ukubali kwa 100%Hii yako ni safe kama anakupenda na umeliona hilo. Asijekuwa naye anaolewa kutimiza masharti tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We una miaka mingapi na yeye ana miaka mingapi?