Baby,Hawatomwelewa ng'o ....wanaweza kuitikia kuanua ngoma juani ila hakuna atakaempenda huyo mwanamke....
Hawa .....;
mama mkwe
Mawifi
Mashangazi
Mama wadogo
Ni kichefuchefu muda mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wanajuana vzuri sna aswa Mama zetu jaribu kuheshim maono yke nina hakika mama yko yupo sawa kuna kitu kipo khs huyo single mother ambacho kitakuja kkuletea madhara mbele ya safari niliwai kupewa Onyo km lako nikaleta ubishi na kushitaki kwa wajomba kwa nn mama hataki nioe baada miaka 9 ya ndoa ndio naona mama aliona nn...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtupekee mwenye mapenzi mema na ya kweli ni Mama yako mzazi.Mkuu hapa Ni jamii forum,Kuna wazee wengi na wakina mama wazima wengi kutoka sehemu tofauti na wengine Ni single dady humu wana uzoefu wa kutosha,sio mbaya kusikiliza maono yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia, fuata moyo wako na endelea. Ndugu siku zote huangalia upande wao siyo matakwa yako. Wewe kama mnapendana na ameisharidhia basi achana na matakwa ya ndugu. Ila usimfiche wasi wasi wako ili kesho na kesho kutwa yakikukuta ajue ulimweleza. Mme wangu namzidi miaka mitatu pia na tuna watoto wanne mmoja akiwa huyo aliyenikuta naye na wote wana kazi isipokuwa mmoja anachukua Masters na wote ni graduates na tunapendana kama kwamba tumeoana jana.Hakubakwa walikuwa wakiishi wote,namjua huyo jamaa japo sijawahi kuzungumza naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena vyema sana ni ukweli usiopingika uyo ni mke wa mtu na ushaidi uyo mtoto aliyenae sasa kijana mwenzangu bado hata mishindo ya ndoa bado hujaijua vzur embu fikiria vzur ufanye maamuzi sahihi juu ya future yakoHumu Kila mtu ataelezea lake.
Lakini kijana ndoa ya Kwanza tu unaanza na kubeba mke wa mwenzio Ni udhaifu Sana.!!
Mke wa mwenzio inatakiwa umuoe Kama unapanga kuongeza wake lakini sio first choice.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann ujitese namna hiyo, oa mwanamke asiye na mtoto uanze naye maisha mapya, mwanamke asiye na mtoto kuishi naye kuna raha yake, hata Mungu anasema mtoto wa kwanza wa ujanani analeta furaha ya ndoa.Mbona hilo unaweza control lakini, labda huyo single mother awe kichwa maji maana wengi wanakuwaga kama mazombi mbele ya baba wa mtoto. Unatakiwa upige ultimatum kabisa na ikibidi u track kama kuna traces zozote za mawasiliano baada ya hapo. Kama baba wa mtoto atakuwa akilazimisha kuonana na mkeo basi hakikisha we ndio unampeleka mtoto then maisha yatakuwa smooth tu.
Muhimu kuwa na msimamo juu ya hilo tu. Kwa mwanamke decent ambaye ana uchungu wa kupoteza ndoa yake atakuwa msikivu na hatoleta mambo ya kijinga then mtaishi kwa amani sana as long as you are treating her child right.
Pole sana ndg!Kwa KIFUPI HAWA SINGLE MOTHER WAKIPATA MWANAUME WA KUOA KWAO NI GOLDEN CHANCE, watakuhandle vizuri mpaka ushangae, kwanza wanataka kuwaprove wrong walimwengu kuwa hakuachwa kwasababu ya tabia zake, ni mwanaume ndie aliyekuwa na matatizo.
Feedback nzuri ilibidi atoe mumeoYawezekana na yeye yumo humu anakusoma. Je amekwambia baba wa mtoto ni nani na kwanini hakuolewa naye au alibakwa?
Huyo siyo wa kwanza tupo wengi tulioolewa na watoto na sasa tuna miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na tunapendwa na wakwe kwa saana tu.
Hata wazazi wa huyo binti hawawezi kukubali mtoto wao aolewe na mtu ambae wazazi wake hawamkubali sababu ndoa ni zaidi ya mume na mke