Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.

Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.

Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
He he mbn kama sijaelewa. Kwahio aliacha sababu mjukuu kasalimia bibi au?
 
Nami nakusisitiza jambo katika kuoa tumia sana akili wazazi ni watu wa nyongeza katika kuijenga familia yako.

:Utamuacha mama yako pamoja na baba yako utaambatana naye kama mke nanyi mtakuwa mwili mmoja"

Sasa ww kila unachotaka kufanya mshirikishe mama yako tuone uko mbeleni kama hutapangiwa kila kitu cha kufanya kwenye familia yako. Kuwa mwanaume na simama kama mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajisahau kuwa mama nae ni mke wamtu!
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nakuona mpumbavu, umeona humu ndio kuna watu wa maana kuliko wazee wako. Asiesikia la mkuu huvunjika guu
 
MKUU wewe OA,,,kama MMEPENDANA,,Mimi ni SINGLE DADY ,,,,Nina watoto 3 ,,na kila mmoja na mama YAKE,,, na wote wameolewa na WANAWAKE wengine,, na wanafurahia ndoa ZAO huko waliko,,,LAKINI nikijisikia kuwa nao TUNAKUTANA NAPIGA JEGEJE,,,hilo halikwepeki MKUU,,, UKWELI MCHUNGU.. ukioa single mother elewa UMEMUOLEA baba mtoto wa kwanza....pia kama umeoa na kumkuta na watoto na wewe pia una watoto wengine wa nje,,ndy hatari zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa single mother sio tatizo tatizo ni pale atakapo anza kukutana na baba wa mtoto ili wajadili kuusu mtoto wao [emoji28][emoji28][emoji28]
Au pale mwanaume mwenzako anauwezo wa kumpeleka mwanae Feza schools, wewe shule za kata, hizo dharau sijui utazivumiliaje.
 
Wewe hakuna tatizo oa kabisa...

Mimi nataka kuoa mwenye mtoto ila yupo hai na tatizo lake mchamungu ameshaoa mke mwingine ila sina imani naye
Kama chanzo cha kuachana kwao hakikuhusisha kushindwana kimapenzi kama usaliti bali ugumu wa maisha kama ukosefu wa hela basi jua ukioa utakuwa unachapiwa sana. Hakikisha walishindwana kihisia na kati yao kuna ukuta mkubwa wa chuki baina yao kana kwamba hawawasiliani kabisa. Hapo utaishi kwa amani ila kinyume na hapo utaumia maana mwanamke akiwa bado ana hisia na jamaa yake hata kama wapo mbali akichombezwa atachojoa.
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa Kubet hii tuna ita Handcap +1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi kuoa mtu ili uwafirahishe wazazi hata kama wewe hufurahii hiyo ndoa you might as well ask them to choose one for you kama nia ni kuwafurahisha tu

Hata wazazi wa huyo binti hawawezi kukubali mtoto wao aolewe na mtu ambae wazazi wake hawamkubali sababu ndoa ni zaidi ya mume na mke
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usinge waambia mama ana mtoto
 
Well articulated. Nina mdogo wangu nae naona anataka kujikaribishia shida. Lakini ukweli ndio huo wanawake single mothers ni shida. Kama unaoa mwanamke single mother hakikisha jamaa aliye zaa nae hayupo Duniani kabisa...... hapo mtaenda sawa.....
Utakuja juta kama mimi...tafuta mke mpya jenga familia mpya.
Wanawake wenye mtoto/ watoto wanachangamoto sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well articulated. Nina mdogo wangu nae naona anataka kujikaribishia shida. Lakini ukweli ndio huo wanawake single mothers ni shida. Kama unaoa mwanamke single mother hakikisha jamaa aliye zaa nae hayupo Duniani kabisa...... hapo mtaenda sawa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hilo unaweza control lakini, labda huyo single mother awe kichwa maji maana wengi wanakuwaga kama mazombi mbele ya baba wa mtoto. Unatakiwa upige ultimatum kabisa na ikibidi u track kama kuna traces zozote za mawasiliano baada ya hapo. Kama baba wa mtoto atakuwa akilazimisha kuonana na mkeo basi hakikisha we ndio unampeleka mtoto then maisha yatakuwa smooth tu.
Muhimu kuwa na msimamo juu ya hilo tu. Kwa mwanamke decent ambaye ana uchungu wa kupoteza ndoa yake atakuwa msikivu na hatoleta mambo ya kijinga then mtaishi kwa amani sana as long as you are treating her child right.
 
Mateso yote hayo ya nini..... bora kuweka sawa tangu mwanzo..... Naongea kutokana na uzoefu..... na mimi ilibaki kidogo nitumbukie kwenye hilo janga lakini namshukuru Mungu kwa kunionesha viashiria mapema sana.....
Mbona hilo unaweza control lakini, labda huyo single mother awe kichwa maji maana wengi wanakuwaga kama mazombi mbele ya baba wa mtoto. Unatakiwa upige ultimatum kabisa na ikibidi u track kama kuna traces zozote za mawasiliano baada ya hapo. Kama baba wa mtoto atakuwa akilazimisha kuonana na mkeo basi hakikisha we ndio unampeleka mtoto then maisha yatakuwa smooth tu.
Muhimu kuwa na msimamo juu ya hilo tu. Kwa mwanamke decent ambaye ana uchungu wa kupoteza ndoa yake atakuwa msikivu na hatoleta mambo ya kijinga then mtaishi kwa amani sana as long as you are treating her child right.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi na single mom kunahitaji moyo mkuu. Unampenda anakupenda pia tatizo linakuja pale akili zikimkaa sawa anarudi kwa mzazi mwenzie hata kama umemuoa ipo siku wataanzisha mawasiliano tuu na ndio mwanzo wa wao kuwa pamoja tena.

Wazazi hawaachani. Wanapeana likizo tu, mimi najua unampenda sana huyo single mom lakini mama ako ameona mbali sana

na inawezekana katika watoto watatu utakao zaa na huyo single mom, mmoja akawa wa jamaa wake wa kwanza ukajikuta unalea mtoto asiye wako (ni wajinga sana hawa single mom')

Muoe single mom kama baba mtoto wake ilikuwa bahati mbaya amefariki. Lakini kama ana nguvu zake !! My friend the Future will be exciting

Achana na huyo single mom, ikiwezekana oa mwingne huyo single mom zaa nae mtoto tu na uhudumie au awe mchepuko Over!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hustling
 
Mateso yote hayo ya nini..... bora kuweka sawa tangu mwanzo..... Naongea kutokana na uzoefu..... na mimi ilibaki kidogo nitumbukie kwenye hilo janga lakini namshukuru Mungu kwa kunionesha viashiria mapema sana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha kweli kiongozi, personally ntaoa mke naemuelewa vizuri tabia zake tu.
 
Unaoa ili Mama yako afurahi au wewe? Mke ataishi na Mama yako au wewe? Mama akikataa kabisa usioe basi huoi?
Pole sana ndugu!
Kwa hatua uliyoifikia sasa , huna budi kubwaga manyanga. Kama bwawa limeingia ruba au disco kaingia mmasai. Maana maneno huumba!

Mama ana nafasi kubwa sana juu ya mwanae katka ndoa na maisha kiujumla. Mama yako anakuelewa wewe vizuri sana na anawaelewa wanawake wenzie vyema. FUATA MANENO YAKE.

Ukisoma comments zako vizuri, ni kwamba si mama yako tu bali hata baba yako hakubaliani na hilo, ila hakutaka kukukatisha tamaa.
Pia kwa mbali inaonekana kama huyo single mom amekuteza nguvu, huna sauti kwake. Ingawa nimeshindwa kuja imekuja natural, dawa , au ugeni wako katika mapenzi.

Wayforwad:
Sitisha uchumba kwake, warudie wazazi wako uwatake radhi kwa hilo. Tafuta binti mdogo chini ya umri wako, jiridhishe kama hatopata pingamizi kabla hujampeleka home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom