Pole sana ndugu!
Kwa hatua uliyoifikia sasa , huna budi kubwaga manyanga. Kama bwawa limeingia ruba au disco kaingia mmasai. Maana maneno huumba!
Mama ana nafasi kubwa sana juu ya mwanae katka ndoa na maisha kiujumla. Mama yako anakuelewa wewe vizuri sana na anawaelewa wanawake wenzie vyema. FUATA MANENO YAKE.
Ukisoma comments zako vizuri, ni kwamba si mama yako tu bali hata baba yako hakubaliani na hilo, ila hakutaka kukukatisha tamaa.
Pia kwa mbali inaonekana kama huyo single mom amekuteza nguvu, huna sauti kwake. Ingawa nimeshindwa kuja imekuja natural, dawa , au ugeni wako katika mapenzi.
Wayforwad:
Sitisha uchumba kwake, warudie wazazi wako uwatake radhi kwa hilo. Tafuta binti mdogo chini ya umri wako, jiridhishe kama hatopata pingamizi kabla hujampeleka home.
Sent using
Jamii Forums mobile app