Hapa kazi ipo maana kanizidi 3 yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama humsikilzi mama yako wewe ni mpumbavu hakuna mwanamke anayekupenda duniani zaidi yake
UTAPATA LAANA
Hiyo michezo ya kitandani si lolote mbele ya radhi za mama yako na namna anavyokuonea uchungu mwanae
HAKUNA KAMA MAMA
 
Inategemea huyo mtoto ulimpataje.
Wengi wa Hawa wanabeba mimba bila mpango wowote.
In return wanaanza kulazimisha wanaume wawaoe wao na watoto wao.
Bado haitoshi wanarudiana na waliowazalisha huku wakiwa na ndoa nyingine.

Mwanamke pekee ambaye utakuwa na uhakika naye Kama ana mtoto Ni yule aliyefiwa na mumewe.
Huyo Ni mjane. Hawa wengine Ni wake za watu.
Acheni kuzaa bila mpango wakati mna ndoto za kuja kuolewa na kuwa na waume zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Single mums wengi tunawaona wakiolewa.
Lakini maumivu wanayokutana nao wanaume hao Ni afadhali kuishi bila kuoa.
Wapo waaminifu lakini wengi wao wapo na ndoa mbili mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Changamoto"

Uwe tayari kuona Mkeo Akiendelea kuwasiliana na baba wa mtoto kwa kisingizio cha kuomba huduma za mtoto.

Najua ni kitu kinachouma sana moyoni kuona mkeo akipokea simu au sms za mwanaume mwenzako mbele yako, huku ukijua fika watu hawa walishalala pamoja na wanajuana ndani nje.

Ila sasa utafanyaje wakati wanaongea habari za mtoto wao itakubidi ufe kizungu tu na tai shingoni.

Kwa kawaida binadamu tumeumbiwa kusahau iwe jambo baya au mzuri, hivyo mkeo kama hatakuwa na msimamo thabiti ya weza pelekea siku moja wawili hawa wakaaza kukumbushiana mazuri ya kila mtu kwa mwenzie hadi wakaaza kupasha kipolo.
 
Acheni kuzalisha Kama unajua huoi. Ni upuuuzi kuwapa lawama wanawake tu as though mimba wanajipa wenyewe
 
Huu ni upuuuzi first class.

Mtu kuwa mama yako haina maana anakumiliki, na wewe kuzaa mtoto haina maana unammiliki.

Huu uzwazwa wa watanganyika kudhani wanawamiliki watoto wao ndo unaokwambisha maisha ya wengine, kila mtu ana utashi na chaguzi zake.

Kwahiyo Mama yako akisema kuwa shoga unakua sababu tu kasema? Akisema usioe maisha yako yote huoi sabbau Mama kasema? Ukomo wa kukuamulia mambo yako ni upi? Ndo nyie ambao mnaoa ila kila kitu ni Hadi Mama aseme.

Hakuna cha laana wala nini kama mama sio muelewa. Hilo ni tatizo lake. Na ndoa ni zaidi ya kulalana
Kama humsikilzi mama yako wewe ni mpumbavu hakuna mwanamke anayekupenda duniani zaidi yake
UTAPATA LAANA
Hiyo michezo ya kitandani si lolote mbele ya radhi za mama yako na namna anavyokuonea uchungu mwanae
HAKUNA KAMA MAMA
 
Sasa kwanini aowe mke wa mwenzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mama yako asikupangie maisha

Try to kill me once then pray I don't wake up..
 
Wameona mbali ila fanya maamuzi kwa busara

"Hatikvah"
 
Ip hivi muoe huyo single mother kama una uhakika baba wa mtt alishafariki ! Ila kama bado anaishi mwache huyo ni mke wa mtu na ukioa jiandae kisaikolojia wazazi wako wameona na hili pia

"Hatikvah"
 
Reactions: JMF
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo bibi ni kauzu kweli!
"Hatikvah"
 
Jaribu kuvaa viatu vya huyo mama kwanza
"Hatikvah"
 
Dah! Nawazia kama mama unavaa suruali vipi hao watoto wako wakike
Kuvaa suruali na enyewe ni kigezo eti cha kutokumuoa mtu? Labda ungesemea mengine hayo mkuu watu tumevaa suruali toka utotoni mpaka tunaolewa tuna watoto suruali tunavaa haijawai husiana na tabia ya mtu iyo

"Hatikvah"
 
[emoji23][emoji23][emoji23] 4 years mnasomana tu?
"Hatikvah"
 
Hii point nzuri sana asipofuata na hii basss abebe janga peke yake
"Hatikvah"
 
Kuoa single mother ni changamoto kubwa sana hasa kama baba mtoto bado ana connection na huyo mwanamke. Itakusumbua sana kisaikolojia huko mbeleni. Kabla ya ndoa watu huficha mengi, anaweza kukuhakikishia hana mawasiliano au mazoea mzazi wenzake, ila mbeleni mawasiliano yanaweza ibuka kwani mtoto ni wawawili na ukija juu usishangae dharau toka kwa huyo mzazi mwenzie au huyohuyo mkeo kukujibu kuwa uliridhia mwenyewe kumuoa ilihali ana mtoto na mwanaume mwingine hivyo mtoto ana haki yaku interact na babayake mzazi. Ila kipenda roho hula nyama mbichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…