Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Fresh ila sio kwenda kulelewa na baba wa kambo
Hata hao wengine ni hivyo hivyo, kwahiyo wake zenu kazi yao kulea watoto wa wifi zao baada ya kuzalishwa huko na kuachwa[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Mkuu nakushauri bakiza akiba ya maneno. Kesho na keshokutwa anaweza kuzalishwa mtoto wako au mdogo wako sasa utasemaje. Sijui umri wako lakini ambacho nina uhakika ni kwamba bado wewe utakuwa ni mvulana.
Gents hawezi kuongea shit kama hizi
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Hakuna wanawake wasumbufu Kama hawa viumbe tena wanapenda kulazimisha ndoa, uache kuolewa na aliyekuzalisha uje unigande mimi, pambaneni na hali zenu.
 
Hata hao wengine ni hivyo hivyo, kwahiyo wake zenu kazi yao kulea watoto wa wifi zao baada ya kuzalishwa huko na kuachwa[emoji8] [emoji8] [emoji8]
90%wanalelewa na bibi na babu zao
 
Mkuu nakushauri bakiza akiba ya maneno. Kesho na keshokutwa anaweza kuzalishwa mtoto wako au mdogo wako sasa utasemaje. Sijui umri wako lakini ambacho nina uhakika ni kwamba bado wewe utakuwa ni mvulana.
Gents hawezi kuongea shit kama hizi
Mkuu usiogope kusema tatizo eti kisa kesho linaweza kukuta. Ya kesho mwachie mola dili na ya leo
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Asante dada
 
Back
Top Bottom