City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Ushauri mzuri.Kama wewe ni kijana under 30 hakuna sababu ya kuoa single mother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri.Kama wewe ni kijana under 30 hakuna sababu ya kuoa single mother
Kwani huyo mwanamke alibakwa???? Mwanamke ndiye anayeamua azae au laa, wawe wana angalia Wanaume wa kazaa nao sio unazaa zaa tu kabla ya ndoaWanaowatia mimba nao unawaambia nini cha kujifunza?
Kwani huyo mwanamke alibakwa???? Mwanamke ndiye anayeamua azae au laa, wawe wana angalia Wanaume wa kazaa nao sio unazaa zaa tu kabla ya ndoa
Hujanielewa, case ya mwanamke kubakwa ni nyingine, lakini mwanamke anapata mimba ni yeye mwenyewe aliamua +anajua kalenda ya siku zakeKwa mtazamo wako wanaobakwa hawapati mimba sio? [emoji13][emoji13]Thats one , second waliobakwa wakapata mimba wakazaa je wana jina tofauti na sio "single mothers " [emoji12][emoji12]
Endelea kujifunza kuna siku utaelewa tu usikate tamaa katika kujifunza umesikia mkuu. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hujanielewa, case ya mwanamke kubakwa ni nyingine, lakini mwanamke anapata mimba ni yeye mwenyewe aliamua +anajua kalenda ya siku zake
Mwanamke amevua chupi mwenyewe amepanua na miguu kwa hiari yake mwenyewe kaenda guest au ghetto kwa mwanaume au unaniambia nikaze mwendo huo mwendo kaza mwenyeweUtaelewa tu mkuu. Kaza mwendo
Hahaaaa. Na ingesaidia sana. Sababu hawapumui kila leo afadhali ya jana.Nyuzi za Single moms ni nyingi sana humu... Mods mnaonaje mkaziunganisha ikawa ni
SINGLE MOMS SPECIAL THREAD.
Ili mvulana yeyote mwenye povu lake anakua anaenda huko analimwaga weeeeeh kisha anatoka.
Mbona wangekosa wa kubishana nao??Hahaaaa. Na ingesaidia sana. Sababu hawapumui kila leo afadhali ya jana.
Ila nimecheka sana mdogo wangu eti kama ana povu analimwaga weeee. Nionavyo lisingekuwepo sababu kungekosekana wa kubishana nao. Teh
Daah pole sanaa mkuu umeandika kwa hisia sanaa polee na msamehe huyu kijana.Mkuu iko hivi.
JF hakuna mwanaume hata mmoja aliyelelewa na mama tu ( single mom) wote wamelelewa na wazazi wao wote wawili (baba na mama) tena ndani ya ndoa[emoji12]
JF hakuna wanaume waliozalisha wanawake iwe kwa kupanga au kwa kushtukiza kisha wakawatelekeza. Wanaume wa aina hii JF hakuna kabisa wote wameoa na wamezaa na wanalea familia zao vizuri kabisa kwa ambao hawajaoa basi wako kwenye mchakato wa kutafuta wachumba kwa kufuata maadili safi kabisa ya jamii. [emoji12]
JF hakuna wanaume wenye madada au mabinti au ndugu zao wakike waliozalishwa wakiwa majumbani. Wanaume wa JF wote dada zao na mabinti zao wako vizuri kabisa [emoji12][emoji12][emoji12]
Kwa kuhitimisha basi ujue tu JF imejaa wanaume waliotoka katika sayari nyingine kabisa na siyo sayari hii ya dunia. Ndio maana mtoa post ameandika bila wasiwasi kwa kuwa yuko sayari ya tofauti na hii yetu tunayoishi mimi na wewe. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mwanamke amevua chupi mwenyewe amepanua na miguu kwa hiari yake mwenyewe kaenda guest au ghetto kwa mwanaume au unaniambia nikaze mwendo huo mwendo kaza mwenyewe
PoleeOK tumekusikia mkuu swala lako tutalifanyia kazi....nakumbuka kipindi ninamimba nilifungua Uzi fulani humu unawa sema single mother niliumia sana nililia karibu siku mzima nilikua naogopa kuondoka kwa X wangu kutokana na manyanyaso aliyokua akinipa nikiwaza naenda kua single mother ambapo kila siku nitakua nanyoshewa kidole niliamua acha nifie kwa huyuhuyu alienipa mimba ilipofikia siku analeta mwanamke chumba kingine maumivu yalizidi wakati huo ninamimba ya miez saba nakumbuka nilinunua variam 20 ninywe nife bahati mbaya mwanaume sijui alitoka wapi aakawa ameziona any way story ndefu mpaka sasa nikiona uzi wa hivi naumia sana namwambia Mungu kwann mimi kwann uliruhusu hali hii kwangu haya matusi mpaka lini kweli sikupanga maisha ya single mother... Mungu tu anitie nguvu niweze kuzoea haya masimango....Asante mtoa mada Mungu akuepushe na hiki kikombe katika uzao wako wote maana hata wazazi hakuna anaependa mtoto wake azalie nyumbani
Nahisi inategemea na mtu ulie nae,wengine wanawaacha wanaume baada ya kuona hana future ya kimaisha pamoja na mtoto , mwanume mlevi,mgomvi, hueleweki kimaisha au hata hujali kitu bora huyo mwanamke akatafute maisha na mtu mwingine mwenye future ya kimaisha kuwa na mtoto si ulemavu au ugonjwa mwanamke anaweza kuwa na mtoto na akafanya majukumu yake kikamilifu kuliko hata huyo ambaye hana mtoto. ila na sisi wanaume, wanawake wawachukulieje waliozaa nje au na wanawake wengine?Msipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke
Mapovu ruksa