Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Write your reply...Na kama mtoto yupo ujombani Yaani mtoto hakai pamoja na Mama yake yupo kwa ndugu zake na Mama huko mkoani. Hapo pakoje kwa wenye uzoefu?
 
Mashabiki wa makamboo tunakoment wapi??
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.
 
Binadamu hatuna uwezo wa kujichagulia jambo zuri isipokuwa kwa kumshirikisha Mwenyezi Mungu kimaombi.
Kwema kiongozi?
Mwenyezi Mungu ametupa akili tuzitumie na maombi tusiweke akili mfukoni tukategemea maombi tuu
 
Punguza makali ,kuna single mother wako poa sana ilikuwa bahati mbaya tu . Kuna single father na single mother walioana na maisha yao ni poa sana .
 
Not all Baby mamas got drama,some got diplomas, degrees& jobs, they go to work , independent & raise their kids silently
 
Not all Baby mamas got drama,some got diplomas, degrees& jobs, they go to work , independent & raise their kids silently
Kabisaaa! Am just trying To raise my son in the best way I know how! Kusema kweli sina mpango wa kumkumbuka ex wangu maana ghafla huingiwa na huzuni. Mie wazo la mtoa mada nimelipenda, sioni sababu ya kuongea na baba mtoto. Mungu akinijaalia ndoa nyingine afu yule fala anajifanya anataka kumuona mwanae, aisee atakuwa anaenda kukutana na mwanaume mwenzie.
 
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.
Kama huna house girl!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukumbushia kati ya watu hao hutegemea sana msimamo wa mwanaume aliyezaa nae! Binafsi nilizaa nae miaka 12 iliyopita mwaka jana ameanza kuleta hizo habari za kuwa amenimiss na mambo kama hayo! Hapo ni mke wa binadamu upande aliopo
 
Kabisaaa! Am just trying To raise my son in the best way I know how! Kusema kweli sina mpango wa kumkumbuka ex wangu maana ghafla huingiwa na huzuni. Mie wazo la mtoa mada nimelipenda, sioni sababu ya kuongea na baba mtoto. Mungu akinijaalia ndoa nyingine afu yule fala anajifanya anataka kumuona mwanae, aisee atakuwa anaenda kukutana na mwanaume mwenzie.
Unamaanisha kweliii!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado wadogo mkikuwa mtaacha!
ukweli uko hivi kila mwanaume anavigezo tofauti vya kuoa mwanamke. mwanadamu achungiki akiamua bado anaweza kufanya na swala la kuibiwa sio issue kivile kwa jinsi umri unavyokwenda muhimu tu usijue na akuheshimu kwa kuwa huna unaloweza fanya akiamua kufanya hata kama umemtoa bikira.
lakini japo la kujiuliza kabla ya kujihukumu ni je wewe katika mahusiano naye kama mke umekuwa mkamilifu kwa kiasi gani? hawa wanawake ni wazuri wanachohotaji ni kwamba uweze kutibu maumivu yake na pia aweze kukuamini kuwa unampenda na haufikiri katika maisha yako kumuumiza kabisa yeye na mtoto wake na akiwa na uhakika wa hivyo anakuwa mke mnzuri sana anayekujali na kukupenda na yuko tayari kukutetea kwa nguvu zote.
Sio ukweli acha kupotosha watu ..HV vitu havina formula eti akishapata uhakika km kweli unampenda na hutamuumiza .ndo atatulia ..bado hujapitia changamoto za mahusiano na hawa so called single mother

From profile picture to proper future
 
Hili ni sharti namba moja la kumuoa single mother. Na iwapo nitagundua hili, siku hiyo hiyo tunatengana bila maelezo mengi lasivyo kutachimbika bure. Bora kuachana ili akaendeleze mawasiliano akiwa kwao.

Akiona ni ngumu heri msioane kabisa.
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku nawaambia dada zangu, fanyeni juu chini msizae kabla mtu hajaamua kukuoa. Kwa mwanamke inakuwa ni kifungo kikubwa sana, hasa kama ana ndoto za kuolewa na kuwa na familia yake mbeleni. Kuzaa kabla hujaolewa ni sawa na kubet, kosa moja tu, mkeka wote umechanika. Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe.
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
 
Back
Top Bottom