Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nakusisitiza jambo katika kuoa tumia sana akili wazazi ni watu wa nyongeza katika kuijenga familia yako.Ndugu nikusisitize jambo, katika kuoa msikilize sana Mama. Nikukumbushe tu, mama ndiye mjenzi wa Familia, changa karata zako vyema.
Zipo dhambi mnafanya kwakuwa azionekani hamzihesabu, mnaanza kuzini toka primary na videm mmevipanga huwa hamuhesabu kuwa mnafanya uasherati, eti mtu akivaa suruali ndo mnaiona dhambiMi ni mtoto wa mchungaji na nimekulia dini kwa hiyo ni dhambi kwa mwanamke kuvaa suruali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu kama kuoa ni lazima wazazi uwashirikishe . Kuna vitu wazazi Wana nafasi ya maamuzi Yao . Biblia inasema mheshimu Baba na mama yako ili siku za kuishi kuongezeka. Wazazi ni Mungu wa pili wamehusika kwenye uumbaji wako. Ndio maana wazazi wanauwezo wa kutoa laana kama Una makosa itakuopa kwelikweli.Nami nakusisitiza jambo katika kuoa tumia sana akili wazazi ni watu wa nyongeza katika kuijenga familia yako.
:Utamuacha mama yako pamoja na baba yako utaambatana naye kama mke nanyi mtakuwa mwili mmoja"
Sasa ww kila unachotaka kufanya mshirikishe mama yako tuone uko mbeleni kama hutapangiwa kila kitu cha kufanya kwenye familia yako. Kuwa mwanaume na simama kama mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakapo kuomba kwenda kuonana na mzazi mwenzake wajadili kuhusu mtoto wao utulieAna mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
wazaz n muhimu sana ktk maisha yetu hususan ya ndoa ila hawana uwezo wa kukuchagulia moyo wako wa kumpenda ila wanaweza kuuchagulia mwili wako wa kulala(lugha ya kiutuzima kidogo) nae,kama ni single mother ujue kuna mtu aliezaa nae maana watoto hawapatikan kwa kupiga chafya au kuangaliana,ujue why kaachika ingawaje kuangalia yaliyopita kwa mwenzi wako kuna negative impacts zake ila ujue lengo lako n kutaka kujua nn,yawezekan mwanamme ndo chanzo au mwanamke ndo kunguru,ingawaje single mother weng wanatulia ktk mahusiano mapya maana wanajua past zao walipoharibu au kutomchanganya mtoto kisaikolojia kwa kuwa na mababa weng ktk ukuaji wao,usikulupuke kwanza,tulia,kama vp ishi nae bila ndoa maana najua kama kunanihii nae tayar,vjana wa siku hz hampend kuuziwa mbuz katika kiroba mpaka mumuone,ukikaa nae utamuelewa,waweke wazaz chini nao uwaeleze nia yako ni nin maana hapo wew unatetea moyo wako na wazaz wanamtetea mtoto wao,pima mambo bila kulaumu upande wowoteHii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke atapenda mwanae aanze na single maza hata Kama yeye Ni single maza.Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, huyo mama pengine ana binti ambaye anaweza akawa single mother mtarajiwa na hajui hatma yake.
Kubaliana na mwenza wako abebe mimba, Mimba ikiwa changa pitisha ndoa hata km ya mkeka.
Unachosema ni kweli .yani mabinti wote wanaovutia walisha zalishwa na kuachwa sasa ukijichanganya uoe unaoa mke wa mtuUtafiti binafsi niliofanya unaonyesha Watoto wakali wengi walio kwenye umri wa kuolewa wana Watoto, au la basi wameshazichomoa.
Kwa Wazazi wako kukushauri usioe Mwenye Mtoto hakika wanakupunguzia pakubwa wigo wa kuchagua maana kwenye kila kumi sita tayari utakuta wana Mtoto/Watoto.
Tofauti na hapo uvizie vile vinavyomaliza darasa la saba, maana vingi vyao ndio vipo fresh...na ujiandae kusumbuana na dola.
Kumbukumbu la torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.Kuvaa suruali na enyewe ni kigezo eti cha kutokumuoa mtu? Labda ungesemea mengine hayo mkuu watu tumevaa suruali toka utotoni mpaka tunaolewa tuna watoto suruali tunavaa haijawai husiana na tabia ya mtu iyo
Lakini suruali huwa ni za kike mkuu sjasema km tunavaa za kiume😛😛😛😛Kumbukumbu la torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Acha ujanja mkuu, suruali ni vazi la kiume inajulikana hivyo. Skirt ni vazi la kike. Kuna skirt ya kiume!! Kule uingereza labda😀😀Lakini suruali huwa ni za kike mkuu sjasema km tunavaa za kiume😛😛😛😛