Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuna wanawake wanapenda ainanya vijana wale wapiga chuma ila hawawezi kutunza mwanamke na mtoto.

So wakishazaa nao huwa wanahangaika kutafuta mwanaume atakaye wahudumia yeye na mtoto ia mioyo yao huwa bado inakuwa imebakia kwa wale vijana. So akipata mahitaji yake moyo huwa unadai sana....

Ukweli ni kwamba ingawa watu husema mwanamke haridhiki na hajui anachotaka ila ukweli ni kuwa mwanamke anahitaji affection zaidi ya anavyotaka pesa.

Pesa kwa mwanamke ni kwaajiri ya kumpa mahitaji yake ambayo humpatia utulivu wa akili na si vinginevyo.

But maswala ya kitandani ni muhimu zaidi kwao sababu ndipo akili yao hupata msasa wa utulivu wa akili.

Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume ataefanana na anaempatia vema kitandani na huwa hawawasahau hawa watu. Ila ni rahisi sana kumsahau mwanaume ambaye anampatia pesa na mahitaji pale akimpata mwenye uwezo wa zaidi juu ya huyo au mwenzake mwenye kipato sawa.

So kama ulimteka hisia zake kwa kutumia gear ya kumudu gharama zake na mtoto wa mwanaume mwenzako basi jiandae kuumia. Ila kama ulimteka kwa hisia kwa kumudu mahitaji yake ya mwili then hapo wala usiwaze....
 
Una muda sana aisee.....

Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!

Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!

MTU kama Sio malaya anaakuwaje single mamaa wa watoto wawili wa babaa wawili tofauti ? hee au kastaafu duuuh ? Ebu nieleweshe mkuu.
 
Single parent walioachika wakike wote ni Malaya
Sawa mkuu, na hiyo maanayake ukiona singo mama maana yake lazima kuna singo baba (kama hajafariki).
Sasa swali langu ni, je Hawa singo baba wao wanaitwaje....??
 
Una muda sana aisee.....

Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!

Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!
Role model wako?
Akiwa anagegedwa na michepuko unamuonaga?

Moyo wa mtu ni kichaka
 
Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.

Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.

Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.

Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.

Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.

Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?

Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli uhawara hauna talaka,wakikutana kwenye mazingira rafiki lazima wapashe kiporo.
 
Hivi humu JF kuna chama cha wagumu wa kukataa single mothers, tupeane ushauri jamani?
 
MTU kama Sio malaya anaakuwaje single mamaa wa watoto wawili wa babaa wawili tofauti ? hee au kastaafu duuuh ? Ebu nieleweshe mkuu.
Single mother mwenye watoto wawili wa baba tofauti na aliyetoa mimba za 5 za wanaume wanne,halafu alitembea na wanaume wengine ishirini ambao wakumpa mimba yupi malaya zaidi?
 
Nafikili umalaya ni tabia ya mtu
Kuowa single mothers ni jambo ambalo lakipekee nalo
Kifupi mungu ndie anaejua[emoji1317][emoji23]
 
Back
Top Bottom