Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Wamepigwa na kitu chenye ncha Kali😂Mada za singo maza zimetamalaki. Kuna nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa na kitu chenye ncha Kali😂Mada za singo maza zimetamalaki. Kuna nini
Baba wa mtoto muhimu kumjua maana inabidi siku mgonge threesome na single mazaWewe unamtaka baba wa mtoto wa nini hebu tuanzie hapo,.
Hatuna la kusema. Kila mtu apambane na hali yake!Single Father wanasemaje kwani?
Hujaongopa kkKuna single mother Mmoja nilikuwa niponae kwenye mahausiano ya mapenzi Mimi nilikuwanae kwaajir ya kuzuga tu Yani demu wangu akisafiri namtafuta yeye single mother huyo. Sasa kuna siku tuna piga Stori nikamuuliza nionyeshe picha ya Baba mtoto wake nimuone tu akakubali akachukua simu akanionyesha picha yake nilivyo muona nikijana tu tunalingana lika moja. Sasa baada ya miez 8 kupita akanitumia SMS Baba mtoto wake kafariki Mimi nikampa pole kwenye status akaweka picha za mwanae na video fupi fupi za kupokea mwili wa Baba mtoto wake na siku za ya kuzika video akaweka Sasa Jambo nililokuja kugundua Baba mtoto wake ni mtu mzima umri analingana na Baba yangu 68 na huyo Baba mtoto alishakuwa mwakilishi wa wananchi mjengoni na mjumbe wa Halmashauri ya mkoa kichama!! Kumbe picha ya mwanzo ya Baba mtoto wake aliyo nionyesha ambaye tuna umri Sawa siyo Baba wa mtoto inaonekana kabambikiwa mtoto na inavyo onekana jamaa kashajua mtoto siyo wake na kamkataa hatoi Huduma, kwaiyo single mother alizaa na mume wa mtu na mtu mzima kwa tamaa ya pesa kwaiyo vijana wakiume tuwe makini tunapo kuwa kwenye mahsiano na wapenzi wetu wasichana wengi wasasa Wana kuwa na mahusiano na waume za watu kwa Siri kwaiyo akipata mimba ya mtu mzima Mzee anakubambikia kijana mwenzake, Msichana wa umri wa miaka 24 Una zaa na mzee wa miaka 68 tena mume wa mtu kisa pesa kwanini usiwe single mother.
Nmejiuliza hili swali pia[emoji848]Wewe unamtaka baba wa mtoto wa nini hebu tuanzie hapo,.
Watoto wa mwanaume wewe hawakuhusu hata kidogo wana mama yao.
Kwa hiyo kifupi ni kwamba single maza ni wakugegeda mbususu. Umeeleweka mkuu. Ngoja nikakumbushie mgegedo na single maza mmoja aliniambiaga "bby cum in my mouth"Unajua mnapoongea mambo serious ya maisha epuka kugeuza mjadala kuwa kama discussion za midahalo ya secondary ya "Education is better than Money". Usiamini kuwa kwasababu una hoja na unaweza itetea basi hiyo hoja ni valid.
Kimsingi ili hoja iwe valid basi facts utazokuwa nazo kichwani ziwe na reflection ya reality na sio reflection ya fantasy.
Kwa mnaosema hakuna shida kwa mwanaume ambaye ni bado kijana mdogo wa umri na hana mtoto wala mahusiano yoyote serious kuingia kimahusiano na mwanamke /binti mwenye mtoto/watoto then kuna mambo ya msingi sana mnayaoverlook katika uhalisia wa maisha.
Hisia huwa haziishi bali ulala tu zikisubiria kuamshwa tena. Kuna tofauti ya kuwa na mwanamke ambaye hakuwa na mahusiano na mwanaume kabla yako. Huyu hata akikutana na wanaume mnapokuwa pamoja ndani ya akili yake anachojua ni kuwa yupo na mwanaume wake na wale wengine hawajui.
Ila imagine upo na mwanamke ameshazaa halafu yanatokea tafuatayo.
1. Anapigiwa simu na ndugu za aliekuwa mwanaume wake wakimshirikisha mambo mbali mbali ya kifamilia kama misiba, sherehe, au vikao tu. Je utamkataza asiwasiliane na upande ambapo watoto wake ndipo asili yao?!
2. Mnapita dukani, m'metoka out, upo kwenye basi mnaenda mkoa au upo popote na mwanamke wako huyu mwenye watoto na mwanaume mwingine halafu hamadi eneo mlilopo jamaa anatokea anaawatazama namna mnavyomlelea watoto kizembe, yeye kapiga bao kwa utamu wake halafu wewe unabebelea msalaba wa malezi na yeye kajibanza kimya maisha yanaendelea.
3. Au kwenye situation namba mbili hapo, jamaa anamtazama mwanamke wako na yeye anamtazama halafu wanakuwa na yale macho ya "ingawa tumetengana ila sisi ni wazazi wa hao watoto ambao huyo bwege anatusaidia kulea.
4. Hivi unajua kinachoendelea kwenye akili ya mwanamke anapokuwa anaongea na mwanaume ambae alishamvua nguo na wakakutanisha vikojoleo na alikuwa akifurahia wakati anamkunja kitandani wakinyonyana ndimi na kuangaliana usoni wakati jamaa naniliu yake ipo ndani ya mwanamke ikimwaga bao?!
Mwanamke huyu huyu unatarajia amchukie huyu jamaa eti?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawaza akiwa anaongea nae wakijifanya kuzungumzia maswala ya mtoto huwa vichwani wanakumbuka nini?!
Manina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5. Mtoto huwa hachukii mzazi hata iweje ni swala la muda watapatana na wakishapatana jua kifuatacho wewe itaonekana ni tatizo kwanini baba na mama yake hawapo pamoja na ndipo hapo mtoto akikua safari za siri kwenda kwa baba yake huanza na mama akitoa nauli kwa siri bila kukushirikisha sababu ni kitu anapenda baba na mwanae wawe pamoja kwa namna yoyote ile na wewe hata ukikubali hautakuwa na amani.
6. Kuna swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba mzazi then upendo na wewe huwa unashuka kwasababu baba mzuri lazima awe strict na mtoto wake, issue hubakia kwenye mali. Omba mwanamke wako awe amekupenda ile ya moyoni ila ikitokea yalikuwa mapenzi ya kutafuta pamoja tu maisha then jua balaa linaanza sababu mali zimeshapatikana, watoto wameshasomeshwa na kuwa wakubwa wanajiweza, then mama anaanza kuwa karibu na watoto wewe unageuka kuwa changamoto kwao sababu kilichowaleta kwako wameshapata. Ila katu hawawezi tupa upande wa mama yao na baba yao mzazi.
7. Kuna swala la watoto kupewa jina la ukoo ambao sio wao. Imagine mtoto kuishi katika uhalisia ambao ni wa kutengeneza yaani anawaita ndugu zako baba wadogo, baba wakubwa, shangazi tokea utotoni kisha akue aambiwe wapo wenyewe halisi hao ni kwasababu mama yako aliolewa huko ila kuna baba yako halisi. Hivi huwa mnawazia huu mkaranganyiko unavyowapa shida watoto ukubwani na pia kuwavuruga ninyi kama wazazi?!
8. Imagine mama yako na baba yako wanapokeaje taarifa au ugeni wa kutambulishwa mkamwana ila tayari umeshapigwa bao moja ama mbili hili ni tusi kubwa sana kwa namna wamekulea na kukuza wakitaraji uwaletee damu yao wewe unaenda waletea damu ya mtu gani sijui ambaye yupo huko aliko na anapumua vizuri tu kakuachia familia yake uigize kuwa baba.
9. Masingle mother wenyewe waulize hapa nakupa hiyo assignment. Muulize hivi, wewe dada huyu mtoto wako wa kiume , unahangaika nae kwenye jua na mvua kumpa chakula, mavazi na kumsomesha. Kesho na keshokutwa amekuwa mwanaume kipindi ambacho umri wewe umeshaenda, na anamafanikio makubwa na pesa nzuri tu, akikuletea mrembo anawatoto wawili au watatu na kukwambia anampenda sana kutoka moyoni na hao watoto anataka kuwalea yeye na kuwafanya wake na kibidi kubadili majina yao ya ukoo awape ya kwake, je utakubali huo uhusiano?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu uniletee majibu hapa ndio utajua namna hawa viumbe wanatuona sisi wanaume mabogoza kukubali jambo ambalo hata wao ukiwaambia walikubali kwa watoto wao hawawezi hata kwa dakika moja wakijua hasara ni kubwa kuliko faida.
Nimemaliza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee jamaa hujui kugegedana....ukiwa ulingoni simu zote zinazimwa. Hapo ni kupelekeana moto tuuSiku mzazi mwenzie akimpigia simu mkeo saa 7 usiku na upo kifuani akitaka kujua maendeleo ya mwanae anayesumbuliwa na homa ndo utawajua single mother wewe.
Hakika jamaa amesikitisha sana... Mpeni muongozo...
😅🤣😂😇😊🤑😉🙃🙂😑😐🤨
UmemalizaSiyo wote walio oa single mothers wanapitia hizo changamoto bhana! Wapo wadau wengine wanafaidi kweli kweli mapenzi ya hao single mothers, huku wakiwa hawana mgogoro wowote ule kwenye ndoa/mahusiano yao.
Hivyo mimi nashauri vijana waoe wanawake wa maisha yao. Utakuwa ni ufala mkubwa sana kuacha kuoa single mother ambaye ni wife material, halafu badala yake ukaenda kumuoa Asha Ngedere ambaye muda wote kyupi iko mkononi! Kisa tu hana mtoto.