Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ukisoma mada nyingine unaweza kuogopa lakini uhalisia sasa kila siku mitaan tunakata sare hao single mama wanaolewa.

Swala la mahusiano kudumu haijalishi mwnamke ana mtoto au hana inategemea na mwanamke mwenyewe.
 
Wengi huwa hawapo sawa kiakili, huteswa na mahusiano yaliyopita, ama watoto walionao; kwa sababu mara nyingi hawakuwategemea.......

Kwa wale ambao waliwahi kuwa ndoani kabisa, wengi wao ni watu wenye staha hata akiwa kwenye mahusiano mapya, muda mwingine hutokea hata kwa wale ambao hawakuwa ndoani, na huwa baada ya kuwa Katika shuruba nyingi.
 
Tangu Jana na Leo naona mada za single mother humu...halafu some guys wamewaandama hatari.
Sikieni wadau kama unajiona huwezi kuoa single mother we tulia lakin sio kuja kukatisha tamaa wenzio au kulalamika humu ndani kwa vitu ambavyo single mother wengine wafanye Kisha useme wote.

Kuna akina single mother ambao ni werevu, wanye upendo, waaminifu, waliojitolea na kuishi maisha na ya upendo na kumthamini mume ambae sio aliezaa nae and are trying their best to live a full life na hao step-dad. Pia wana confident with their bodies na wako deep into their hearts because they went through a personal growth na experience flan ya maisha katika mahusiano. Sio kama atadai lazima kwanza uhudumie mtoto wake ndo akupende; single mothers anaejielewa won't ask you to jump into fatherhood immediately kwasabab kumbuka kwamba yeye ni zaidi ya mama, yeye ni mlezi, muhudumiaje na mpiganaji kwa mwanae. So anahitaji mwenzi wakua nae katika maishani yake, sio tu baba wakuhudumia mtoto wake.

Usifikiri pesa ama kumpenda mwanae tu ni kitu anachotaka kutoka kwako basi usipo fanya hivyo basi atarudi kwa mzazi mwenzie ama eti atakua na mahusiano ya kimapenzi na baba wa mtoto wake, ama sijui vitu vya ajabu ajabu mnasema, no!, that's not true kwa Kila single mother.

Sikia single mother anahitaji mapenzi, your time na support kutoka kwako kama kweli unampenda. Kwangu mimi ikiwa ninampenda, ninamaanisha hivyo na nitawajibika kwa maamuzi yangu ya kuwa nae yeye na mtoto aliye nae pia. Nani anajua, ninaweza kumuoa na ku adopt mtoto/watoto wake hatimaye. Ndio, itakuwa ngumu haswa ikiwa biological father bado yuko kwenye picha ndani ya simu yake lakin najua inahitaji very strong man kukubali watoto wa mwanaume mwingine ambae haswa yupo hai but kwa upendo wangu kwake ata realize kama sasa amepata mtu wa tulizo ya moyo wake na atatulia tu mbona.
Hata sijui kwanini single mothers wanaandikwa sana. Bora kuoa single mothers ambaye hakutoa mimba kuliko wale wengine ambao wameua watoto ili wasiwe single mothers. Kuna wanaume wanajifanya ni watakatifu kama Mungu. Heshima kwa wanaume waliooa single mothers, wanajua maana ya mapenzi.
 
Wengi huwa hawapo sawa kiakili, huteswa na mahusiano yaliyopita, ama watoto walionao; kwa sababu mara nyingi hawakuwategemea.......

Kwa wale ambao waliwahi kuwa ndoani kabisa, wengi wao ni watu wenye staha hata akiwa kwenye mahusiano mapya, muda mwingine hutokea hata kwa wale ambao hawakuwa ndoani, na huwa baada ya kuwa Katika shuruba nyingi.
Upendo ni nini?
 
Siku hizi tunaoa kusogeza siku tu na kusaidiana mambo madogo madogo.
Huwezi kuwa na mpenzi wako mwenyewe peke yako.
Ni kushukuru tuu ukipatiwa fursa ya kuchakata mbususu baada ya hapo mwengine nae anakuja kuchukua fursa yake
 
Kwamba UNALO KUBWAAAA
😳😳😳
Anaye kunyandua ANA FAIDII 😋😋😋😋

#YNWA
Ukiamua kuoa niambie nipo tayari maana nyie wabishi kuoa nasikia ni watamu kweli coz kiukweli playboy/man are so sweet....wanakukunja kweli(tena mi ndo wale huwataki singlemom😂)
 
Tangu Jana na Leo naona mada za single mother humu...halafu some guys wamewaandama hatari.
Sikieni wadau kama unajiona huwezi kuoa single mother we tulia lakin sio kuja kukatisha tamaa wenzio au kulalamika humu ndani kwa vitu ambavyo single mother wengine wafanye Kisha useme wote.

Kuna akina single mother ambao ni werevu, wanye upendo, waaminifu, waliojitolea na kuishi maisha na ya upendo na kumthamini mume ambae sio aliezaa nae and are trying their best to live a full life na hao step-dad. Pia wana confident with their bodies na wako deep into their hearts because they went through a personal growth na experience flan ya maisha katika mahusiano. Sio kama atadai lazima kwanza uhudumie mtoto wake ndo akupende; single mothers anaejielewa won't ask you to jump into fatherhood immediately kwasabab kumbuka kwamba yeye ni zaidi ya mama, yeye ni mlezi, muhudumiaje na mpiganaji kwa mwanae. So anahitaji mwenzi wakua nae katika maishani yake, sio tu baba wakuhudumia mtoto wake.

Usifikiri pesa ama kumpenda mwanae tu ni kitu anachotaka kutoka kwako basi usipo fanya hivyo basi atarudi kwa mzazi mwenzie ama eti atakua na mahusiano ya kimapenzi na baba wa mtoto wake, ama sijui vitu vya ajabu ajabu mnasema, no!, that's not true kwa Kila single mother.

Sikia single mother anahitaji mapenzi, your time na support kutoka kwako kama kweli unampenda. Kwangu mimi ikiwa ninampenda, ninamaanisha hivyo na nitawajibika kwa maamuzi yangu ya kuwa nae yeye na mtoto aliye nae pia. Nani anajua, ninaweza kumuoa na ku adopt mtoto/watoto wake hatimaye. Ndio, itakuwa ngumu haswa ikiwa biological father bado yuko kwenye picha ndani ya simu yake lakin najua inahitaji very strong man kukubali watoto wa mwanaume mwingine ambae haswa yupo hai but kwa upendo wangu kwake ata realize kama sasa amepata mtu wa tulizo ya moyo wake na atatulia tu mbona.
Hongera ila umeandika kwa tone ya kinyonge sana, hoja ya msingi umekubaliana nayo kwamba single mothers ni mlipuko wa ndege kuubeba ni kupanga na mavuno ni hiari.
 
Siku ukioigwa na kitu kizito na hao singo maza usisahau kuleta mlejesho pia.

Single mothers walikua zamani sio sasa mkuu, zamani ilikua kama akipewa mimba na uyo alompa mimba akapotea maeneo hayo hiyo ndo kama ashakufa vile hakukua na mawasiliano ya kurudish upendo, sasa hivi text moja tu toka kwa mzazi mwenza unachapiwa mkeo.

Halafu umegusia kuadopt mtoto hivi hapa bongo ipo hiyo???
 
Ukiamua kuoa niambie nipo tayari maana nyie wabishi kuoa nasikia ni watamu kweli coz kiukweli playboy/man are so sweet....wanakukunja kweli(tena mi ndo wale huwataki singlemom😂)
khaa kumbe mnapenda rough games, huruma tuwape mkiwa labor tu
 
Wewe na wewe unapoongea uwe unatizamana na uhalisia. Mimi sijawahi kutana na single mother baba mtu awe amekufa. Ni aidha mume wa mtu, au mvuta bangi ambaye hana ramani ya maisha anafanya fanya ujana tu.
Ndo maana nikasema SIO WOTE, soma vizuri mkuu.
 
Hapo unakuwa umepanga kumkomoa na siyo mfanye starehe
No hio ni maandalizi tu ya zinc na vitamin E, mi mtaalamu kunkatikia sana demu kwenye game styles zote kwa hio nje na mazoezi Lishe ya kuelekea game ni muhimu, supu ya maharage, madhua, asali, tangawizi daily, mbegu maboga,
 
Back
Top Bottom