HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
HatuwaachiHeeee jmn mtuache single mother[emoji16]
Tutaendelea kuwasema
Kuwaongezea watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatuwaachiHeeee jmn mtuache single mother[emoji16]
Maana yake tuendelee wazalisha tuWatoto wa single parent sio mme au mke bora wanakuwa wamekosa balance ya malezi pili hawana Upendo, tatu hawawezi jua maana ya ndoa sababu hawajaishi kwenye misingi ya ndoa. Hata wakiolewa ni lazima wataishia kama wazazi wao
Kwa ujumla wanawake ni wakatili sana.Wanaodeal na single mothers ni wanaume.
Wanaodeal na single fathers ni wanawake.
Tafauti kubwa iliyopo kati ya wanawake na wanaume, wanawake ni watu wa kujilipua sana, alaf hawana uoga wa kuanza upya au kujiondoa sehemu wanayoona sio sahihi kwao, haijalishi itawacost kiasi gani.
Sijui kama umeielewa mantiki yangu 🤔🤔
Mkuu umeandika maneno mazuri, tatizo umesahau kweka japo ' aya ' ili ivutie kwa msomajiHabari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto za Mahusiano na Mapenzi. Niende kwenye maada.
Kuna haka kakasumba au kamtego wanakatumia sana dadaz hasa single mothers au wale mile zimesogea. Ntego huu watoto wa kiume wengi wamenasa na wengine wanajuta kwanini hawakushituka mapema. Ninao washikaji kama wanne hivi wamekamatika na leo wanahangaika na ksumbuliwa na kesi kwenye madawati kijinsia. Kwa wale ambao mtego hu mliwwhi ushitukia na kuuruka hongereni sana wakuu.
Mtego huu wadada wanautumia sana kujinufaisha na hatq pia inapelekea wengine kuvurugiwa malengo yao. Ni ukweli usiopingika kuwa huu mchezo sio mzuri na inabidi vijana wa kiume wote tuufahamu na mwisho tuukatae kwa kufanya maamuzi sahihi.
Hawa wadada wamekua na gear ya pekee sana katika kuuweka huu mtego na hasa hasa akiona mkaka unamaisha yako, kula na kulala hakukusumbui na ukute una ajira rasimi au Biashara yako ya kueleweka. Natambua wote mmeshaijua hata kabla sijaitaja. Najua unatamani kujua ni mbinu ipi hiyo, basi tulia nikujuze. Single mazaz au wale Number A au B, wamekua wajanja sana. Ukianzisha nao mahusiano wanakuweka karibu sana alfu ikifika muda atakuambia mie ninataka mtoto, nq ukimwambia kuwq mie sijajipqnga atakuambia huyo mtoto nitalea mwenyewe kwanza nina kazi au biashara zangu hivyo sitakusmbua chochote. Wengi wetu tumekatika sana. Ukishampa mimba au ujauzito atakuacha mwezi wa kwanza then baadae sarakasi huja na unajikuta unashangaa imekuaje wakati tulikubaliana kabisa. Utafikishwa kwebye madawati kijinsia na kuwekewa masharti na utaratibu wakutoa pesa ya matumizi ili hali hata hukua umejiandaa. Kuna jamaa yangu anahangaika na huyo dada daah. Kwahiyo tuweni mwkini, mimi kunw huyo mdada game moja tu anataka mtoto. Shituka kaka, shituka mjomba amkq uwingizni.
Nawasiliiwha [emoji4]
Kwa uandishi huu nakuombea hata wewe ukamatike tu na hao masingo maza maana hakuna namna [emoji16]Habari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto za Mahusiano na Mapenzi. Niende kwenye maada.
Kuna haka kakasumba au kamtego wanakatumia sana dadaz hasa single mothers au wale mile zimesogea. Ntego huu watoto wa kiume wengi wamenasa na wengine wanajuta kwanini hawakushituka mapema. Ninao washikaji kama wanne hivi wamekamatika na leo wanahangaika na ksumbuliwa na kesi kwenye madawati kijinsia. Kwa wale ambao mtego hu mliwwhi ushitukia na kuuruka hongereni sana wakuu.
Mtego huu wadada wanautumia sana kujinufaisha na hatq pia inapelekea wengine kuvurugiwa malengo yao. Ni ukweli usiopingika kuwa huu mchezo sio mzuri na inabidi vijana wa kiume wote tuufahamu na mwisho tuukatae kwa kufanya maamuzi sahihi.
Hawa wadada wamekua na gear ya pekee sana katika kuuweka huu mtego na hasa hasa akiona mkaka unamaisha yako, kula na kulala hakukusumbui na ukute una ajira rasimi au Biashara yako ya kueleweka. Natambua wote mmeshaijua hata kabla sijaitaja. Najua unatamani kujua ni mbinu ipi hiyo, basi tulia nikujuze. Single mazaz au wale Number A au B, wamekua wajanja sana. Ukianzisha nao mahusiano wanakuweka karibu sana alfu ikifika muda atakuambia mie ninataka mtoto, nq ukimwambia kuwq mie sijajipqnga atakuambia huyo mtoto nitalea mwenyewe kwanza nina kazi au biashara zangu hivyo sitakusmbua chochote. Wengi wetu tumekatika sana. Ukishampa mimba au ujauzito atakuacha mwezi wa kwanza then baadae sarakasi huja na unajikuta unashangaa imekuaje wakati tulikubaliana kabisa. Utafikishwa kwebye madawati kijinsia na kuwekewa masharti na utaratibu wakutoa pesa ya matumizi ili hali hata hukua umejiandaa. Kuna jamaa yangu anahangaika na huyo dada daah. Kwahiyo tuweni mwkini, mimi kunw huyo mdada game moja tu anataka mtoto. Shituka kaka, shituka mjomba amkq uwingizni.
Nawasiliiwha [emoji4]
Vijana wamekuwa mlenda mlenda sana. Wanateleza tu. Jinga jinga.Kwa uandishi huu nakuombea hata wewe ukamatike tu na hao masingo maza maana hakuna namna [emoji16]
On a serious note, wewe mwanaume mzima na akili zako unakubalije kuleta kiumbe hapa duniani wakati unajua kabisa kuwa hutashiriki kwa namna yo yote ile katika malezi na makuzi ya kiumbe hicho?
Hata huyo singo maza asingekuwa mtata na akatimiza ahadi yake asikusumbue kamwe kuhusu malezi ya mtoto, kama mwanaume uliyekamilika, hicho kweli ndicho unachokitaka? Mtoto wako mwenyewe akue bila malezi ya baba yake? Bila father figure katika maisha yake na dunia hii iliyoharibika hii? Na wewe upo mzima wa afya na una uchumi mzuri kama unavyosema? Mawazo gani haya nyinyi vijana wa siku hizi?
Be responsible. Kama huwezi kutunza mtoto atakayezaliwa basi acha kupelekea moto watoto wa watu (haijalishi kama ni singo maza ama la!) au tumia kinga. Janaume zima eti umerubuniwa na singo maza kwa ahadi kuwa atalea mwenyewe wakati na wewe upo mzima huna tatizo lo lote na wewe ukakubali. Ni Umario na ukwepaji wa majukumu wa kinyama!
Hopulesi kabisa yaani! [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
View attachment 2644598
Ni tanzia!Vijana wamekuwa mlenda mlenda sana. Wanateleza tu. Jinga jinga.
Shukrani mkuu nilikuwa natype nikiwa kwenye haraka haraka ila nimesharekebisha.Mkuu umeandika maneno mazuri, tatizo umesahau kweka japo ' aya ' ili ivutie kwa msomaji
[emoji23] [emoji23] Spidi mkuu ila nime ihariri upya.Tumekuelewa ila umeandika haraka haraka sana