Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Wasalaam JF,

Hakika Mungu wa wanaume amendelea kujiimarisha na kusambaza upendo wa kujitambua kwa akili na maarifa.

Wimbi la wanaume kukataa hadaa za ndoa kutoka kwa single mothers ni kubwa sana na linafurahisha sana.

Riporti za hivi karibuni kutoka redio mbao, hasa kwenye magroup ya mitandao na WhatsApp single mothers wanajadili namna ya kujinasua, wanamipango lukiki hasa ya kwenda kwa waganga tabora,, kigoma, gamboshi, sumbawanga.

Jihadhari pita nao njia zilezile usimzoee single mother mpaka ukajisahau.

Beware

Ni hayo tu.

Wadiz Baharia wenu
Hili swala la single mother inabidi lijumuishwe kwenye KATIBA MPYA tuwaambie kabisa ndugu zetu ukioa single mother ukipigwa tukio usilalamike na ikitokea ukalalamika utakua umevunja sheria na utapekekwa jela miaka isiyopungua 20.maana watu wametoa ushuhuda wa kutosha humu kwenye jukwaa.
 
Sijawahi kuchangia Hoja kwenye nyuzi za single mother maana nahifia nisije kuwaharibia watu deal zao. Ukweli ni heri uoe mgumba kuliko single mother. Single Mother akiingia kwenye relationship upendo wake mkubwa upo Kwa mtoto wake wa nje. Hivyo atapambana juu chini Ili kuakikisha mtoto wa nje anafaidi matunda kwako. Hata Kama watoto wakubwa atapambana kukurubuni usipoangalia Ili kuwapatia assets watoto wake wa nje. Wakiwa wadogo atataka uwasomeshe Ili wawe na Elimu Bora. Upendo Hana kwako hivyo wewe ni daraja lake la kufikia mafanikio. Pia akifanikiwa kupata mafanikio kwako haoni tabu kukutosa Ili abaki na watoto. My take wanaaume mnatakiwa kujitengenezea maisha yenu binafsi. Watoto ni Mali ya wanawake. Uzuri na thamani ya mwanaume ipo kwenye pesa tu. Hivyo ni Bora wewe uiache pesa kuliko pesa ukiache wewe.
 
Kama vile jamii inavyokuwa na msukumo wa kutokubaliana na swala la binti kuolewa na mwanaume asie kuwa na kazi au kipato na kumwambia kuwa huyo hana hadhi ya kuwa mume wala mchumba wa mwanamke yoyote then nguvu hiyo hiyo itumike kukemea vijana waosogelea mabinti waliokwisha zaa nje ya ndoa.

Jamii inalegeza kamba kwenye uzembe wa mabinti na kusema wanastahili fadhila na huruma zetu wanaume ila huwezi kuta wanatumia utaratibu huo huo pale mabinti wanapokuwa wanakutana na wanaume ambao hawapo vema kimaisha.
 
Ukitaka kuoa single mother, hakikisha umeona kaburi la baby daddy, na jina lake lisomeke vizuri kwenye grave stone.. utanishukuru baadae..
 
Kama vile jamii inavyokuwa na msukumo wa kutokubaliana na swala la binti kuolewa na mwanaume asie kuwa na kazi au kipato na kumwambia kuwa huyo hana hadhi ya kuwa mume wala mchumba wa mwanamke yoyote then nguvu hiyo hiyo itumike kukemea vijana waosogelea mabinti waliokwisha zaa nje ya ndoa.

Jamii inalegeza kamba kwenye uzembe wa mabinti na kusema wanastahili fadhila na huruma zetu wanaume ila huwezi kuta wanatumia utaratibu huo huo pale mabinti wanapokuwa wanakutana na wanaume ambao hawapo vema kimaisha.

Nahisi nimeielewa sana hii comment yako mkuu, maana kuna muda nakuwaga kati kati juu ya hili ila kwa hii comment sasa imenipa funuo zaidi Merci beaucoup Jamii Forum
 
Eti mtego!!! Hivi wanaume wa kizazi hiki akili mmepeleka wapi?
Mafurushi makubwa.
Mafurushi makubwa kama wewe hapo single mother unayetegemea Child support kuwa shi mjini. This must choke you, no way.
 
Pole sana dogo.
Hata kama ulipewa malezi mabovu, usijali dunia tutakufunza tu.
Kafundishe mwanao, unataka umfundishe nani na ukilaza wako. Mabingwa wa feminism propaganda. Ukipata support kidogo ya hawa wanawake wenye uume unajiona smart. The real man can not entertain bogus feminism neither effemination.
 
Dogo pole sana, tafuta tiba mapema.
 
Habari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto za Mahusiano na Mapenzi. Niende kwenye maada. Kuna haka kakasumba au kamtego wanakatumia sana dadaz hasa single mothers au wale mile zimesogea.

Mtego huu watoto wa kiume wengi wamenasa na wengine wanajuta kwanini hawakushituka mapema. Ninao washikaji kama wanne hivi wamekamatika na leo wanahangaika na kusumbuliwa na kesi kwenye madawati kijinsia. Kwa wale ambao mtego hu mliwahi ushitukia na kuuruka hongereni sana wakuu.

Mtego huu wadada wanautumia sana kujinufaisha na hata pia inapelekea wengine kuvurugiwa malengo yao. Ni ukweli usiopingika kuwa huu mchezo sio mzuri na inabidi vijana wa kiume wote tuufahamu na mwisho tuukatae kwa kufanya maamuzi sahihi.

Hawa wadada wamekuwa na gear ya pekee sana katika kuuweka huu mtego na hasa hasa akiona mkaka una maisha yako, kula na kulala hakukusumbui na ukute una ajira rasmi au Biashara yako ya kueleweka.

Natambua wote mmeshaijua hata kabla sijaitaja. Najua unatamani kujua ni mbinu ipi hiyo, basi tulia nikujuze. Single mazaz au wale Number A au B, wamekuwa wajanja sana. Ukianzisha nao mahusiano wanakuweka karibu sana halafu ikifika muda atakuambia mie ninataka mtoto, na ukimwambia kuwa mie sijajipanga atakuambia huyo mtoto nitalea mwenyewe kwanza nina kazi au biashara zangu hivyo sitakusmbua chochote.

Wengi wetu tumekamatika sana. Ukishampa mimba au ujauzito atakuacha mwezi wa kwanza then baadae sarakasi huja na unajikuta unashangaa imekuaje wakati tulikubaliana kabisa. Utafikishwa kwenye madawati kijinsia na kuwekewa masharti na utaratibu wa kutoa pesa ya matumizi ili hali hata hukuwa umejiandaa.

Kuna jamaa yangu anahangaika na huyo dada daah. Kwahiyo tuweni makini, mimi kuna huyo mdada game moja tu anataka mtoto, nimekataa wazi wazi naona kishaanza kupunguza ukaribu na mimi na hata akija nimle natumia mpira. Shituka kaka, shituka mjomba amka usingizini.

Nawasilisha🙂
Hapo mjinga ni mwanaume na tusisingiziwe wadada au single mother sasa. Namwenye shida ni mwanaume. Yaani kukuwa kote huko, unaambiwa mtoto wako atalelewa na mtu mwingine na wewe upo siuzembe huo. Kizazi cha aibu sana kwa mwanaume. Yaani hapo huo simtego maana alikuuliza kuwa unataka mtoto au lah! Hakukutegeshea wala kukusakizia, uliulizwa na ukajibu ndio, basi kubali majukumu yako acha kusema umetegwa. Yaani kumbe hata wanaume tunamawazo ya kijinga kama hivi. Wewe uzalishe halafu mtoto akulelee mwingine, we sutakuwa sio mzima huko kichwani. Nahaujategwa yaani hujategwa badala yake huna msimamo katika maisha yako, kama hutaki sema sitaki nasimamia msimamo wako.
 
Habari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto za Mahusiano na Mapenzi. Niende kwenye maada. Kuna haka kakasumba au kamtego wanakatumia sana dadaz hasa single mothers au wale mile zimesogea.

Mtego huu watoto wa kiume wengi wamenasa na wengine wanajuta kwanini hawakushituka mapema. Ninao washikaji kama wanne hivi wamekamatika na leo wanahangaika na kusumbuliwa na kesi kwenye madawati kijinsia. Kwa wale ambao mtego hu mliwahi ushitukia na kuuruka hongereni sana wakuu.

Mtego huu wadada wanautumia sana kujinufaisha na hata pia inapelekea wengine kuvurugiwa malengo yao. Ni ukweli usiopingika kuwa huu mchezo sio mzuri na inabidi vijana wa kiume wote tuufahamu na mwisho tuukatae kwa kufanya maamuzi sahihi.

Hawa wadada wamekuwa na gear ya pekee sana katika kuuweka huu mtego na hasa hasa akiona mkaka una maisha yako, kula na kulala hakukusumbui na ukute una ajira rasmi au Biashara yako ya kueleweka.

Natambua wote mmeshaijua hata kabla sijaitaja. Najua unatamani kujua ni mbinu ipi hiyo, basi tulia nikujuze. Single mazaz au wale Number A au B, wamekuwa wajanja sana. Ukianzisha nao mahusiano wanakuweka karibu sana halafu ikifika muda atakuambia mie ninataka mtoto, na ukimwambia kuwa mie sijajipanga atakuambia huyo mtoto nitalea mwenyewe kwanza nina kazi au biashara zangu hivyo sitakusmbua chochote.

Wengi wetu tumekamatika sana. Ukishampa mimba au ujauzito atakuacha mwezi wa kwanza then baadae sarakasi huja na unajikuta unashangaa imekuaje wakati tulikubaliana kabisa. Utafikishwa kwenye madawati kijinsia na kuwekewa masharti na utaratibu wa kutoa pesa ya matumizi ili hali hata hukuwa umejiandaa.

Kuna jamaa yangu anahangaika na huyo dada daah. Kwahiyo tuweni makini, mimi kuna huyo mdada game moja tu anataka mtoto, nimekataa wazi wazi naona kishaanza kupunguza ukaribu na mimi na hata akija nimle natumia mpira. Shituka kaka, shituka mjomba amka usingizini.

Nawasilisha🙂
Uzi bora wa wiki, kijana shtuka kimbia single maza.
 
Back
Top Bottom