Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
niko tayari kusaidia kifedha mchakato huoNi wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatakuja kutokea tena Speaker wa ovyo kama huyu. NeverNi wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kura ya siri inaweza mwondoa. Kuna wanaccm wengine wako upande wa wananchi..as long as kura ni ya siri bado wanaweza kumkataa ndugai.Hapo tayari kna shida maana ccm bungeni ndy wengi na kama uwajuavyo ccm wazee wa ndiyo lazima watataka spika abaki
Kwenye upigaji kura hapo wasiyomtaka spika ishakula kwao
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
OkMkuu kura ya siri inaweza mwondoa. Kuna wanaccm wengine wako upande wa wananchi..as long as kura ni ya siri bado wanaweza kumkataa ndugai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko pale kwa kazi maalumWhat if NDUGAI goes, aende tu apumzike usipika maana si ni mbunge unamtosha huo, spika atabaki kuwa sitta tu
Unamuondoa spika Sawa mwenyekiti wa chama yupo,mtashughulikiwa vilivyo,kumbuka pia rais mwanzo mwisho akivunja bunge?hawa wabunge wapiga mizinga wataishi vipi?au kwenu hawapo mikopo kila kona wanajua hawawezi.Mkuu kura ya siri inaweza mwondoa. Kuna wanaccm wengine wako upande wa wananchi..as long as kura ni ya siri bado wanaweza kumkataa ndugai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii awamu inalaana gani kupata viongozi wa ajabu ajabu.Huyu ni speaker au kituko?Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha wewe uijui ccmNi wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app