Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
niko tayari kusaidia kifedha mchakato huo
 
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatakuja kutokea tena Speaker wa ovyo kama huyu. Never
 
Hapo tayari kna shida maana ccm bungeni ndy wengi na kama uwajuavyo ccm wazee wa ndiyo lazima watataka spika abaki
Kwenye upigaji kura hapo wasiyomtaka spika ishakula kwao

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kura ya siri inaweza mwondoa. Kuna wanaccm wengine wako upande wa wananchi..as long as kura ni ya siri bado wanaweza kumkataa ndugai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if NDUGAI goes, aende tu apumzike usipika maana si ni mbunge unamtosha huo, spika atabaki kuwa sitta tu
 
Mkuu kura ya siri inaweza mwondoa. Kuna wanaccm wengine wako upande wa wananchi..as long as kura ni ya siri bado wanaweza kumkataa ndugai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuondoa spika Sawa mwenyekiti wa chama yupo,mtashughulikiwa vilivyo,kumbuka pia rais mwanzo mwisho akivunja bunge?hawa wabunge wapiga mizinga wataishi vipi?au kwenu hawapo mikopo kila kona wanajua hawawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai na wabunge wenzie wa ccm ni vibaraka wa serikali iliyopo madarakani, hivyo hawako kwa ajili ya kutetea maslahi ya nchi zaidi ya serikali

2020 John Walker out
 
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii awamu inalaana gani kupata viongozi wa ajabu ajabu.Huyu ni speaker au kituko?
 
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha wewe uijui ccm
 
No wonder kile kibano dhidi ya bunge live, vyombo vya habari, sheria ya mitandao na zuio dhidi ya mikutano ya vyama vya siasa vya upinzani vililenga kuweka pazia ili maovu ya aina hii yasijulikane kwa umma wa wananchi, wakubwa waendelee kutanua kodi zetu sisi tukilishwa matango pori ya SGR, Dreamliner, flyovers nk nk!!

Ni swala la wakati; yooooote haya yatakuwa bayana kwa sababu hakuna mtu anaweza kusema uongo akawadanganya watu wote kwa wakati wote! mapambano yaendelee.
NINASIMAMA NA CAG.
 
Spika lazima atoke kwenye Jimbo wala sio wa kuteuliwa. Huyu wetu anaumwa na kidogo hali yake sio nzuri hivyo kuwaza waza saana kwake sio rahisi wala si vizuri saana kwa afya yake. Hivyo, hakuna mwingine anayefaa kwenye kiti hicho kutoka kwenye jimbo.
Acheni tu aendelee kumpa sapoti huyu wa kuteuliwa, wala msimchokoze. Huyu wa kuteuliwa ndiye aliyemwita CAG lakini huyo wa jimbo ndiye alitakiwa aweke saini tu huo wito. Kafanya kazi nzuri kwani amefanya yaliyo majukumu yake wala msidhani ni maagizo kutoka juu.
 
Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kesi ya tumbili unampelekea nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom