Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
niko tayari kusaidia kifedha mchakato huoNi wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms of contracts management na sheria ya PPA, 2011 na kanuni zake 2013 na 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app