Naunga mkono hoja, wabunge wote pasipo kujali itikadi zao wapige kura ya kutokua na imani na spika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amebakiza Mwaka 1 anang'oka kuna mama ameshaandaliwa akumbuke yaliyomkuta Marehemu S. Sita
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hamna imani na bunge, nawashauri msichukuwe na posho zake maana kwa mujibu wa lalama yenu sio fedha halali. Au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai ni lazima ang'olewe , kama si kwa nguvu ya umma basi atang'olewa na Mungu kwa njia ya kaburi , huyu siyo spika tena hana tofauti na Mwajuma Ndala ndefu wa Mbagala charambe
 
Job ndugai hana sifa zakuwa spika kabisaaa

Walau Mzee wa speed naviwango pamoja namapungufu yake makubwa lakini ilipobidi aliitikisa serikali

Marehem Mzee Samwel sita alikuwa a mapungufu yet ndugai kapyaya kuliko sindano ndani ya ndoo ya maji.
 
Wabunge wote wako salama - By Kazi Ndugai[emoji41]
 
Wamshukuru marehemu mhe. Samuel sita alilijengea bunge heshima na marupurupu/posho zilizotukuka.heshima imeanza kubomoka bado posho nazo zipo njiani ikifika hapo patakuwa patamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…