Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa! Nina hakika zaidi ya nusu ya wabunge ccm hili wanalitaka ila inakosekana courage ya kulianzisha tuu.
Naunga mkono hoja, wabunge wote pasipo kujali itikadi zao wapige kura ya kutokua na imani na spika.Sio siri tena kuwa bunge hili katika miaka hii mitatu tuu limepoteza heshima yake, kuaminika na limejaa migogoro ndani na nje kuliko mabunge yote yaliyo pita.
Tumeshuhudia kipindi hiki wabunge wengi wakitolewa nje Na kufungiwa kwa sababu za hivyo kabisa hivyo kuwanyima wananchi uwakilishi.
Haitoshi hayo, mbunge anashambuliwa akiwa kazini Spika anasimama upande wa wauaji kutaka mbunge afe kwa kumnyima stahili ya matibabu na kama sio kujitolea kwa wenye mapenzi mema basi lengo lake lingetimia.
Kuna aibu nyingi tuu, ndani ya bunge mbunge anatishiwa hajali huku mtu muhimu kama CAG anayumbishwa tofauti na katiba isemavyo.
Katiba na kanuni za Bunge viko wazi kuwa Spika akifedhhesha kiti na kuvunja maadili basi wabunge wanaweza kupiga kura ya kukosa imani naye.
JEE WAKATI UMEFIKA WACHUKUE HATUA KUMNG'OA KURUDISHA HESHIMA YA BUNGE?
Jee wabunge wa ccm wako radhi kuhimili aibu wakati wao kwa wingi wao wanaweza kumtoa huyo na kumweka mwingine wa chama chao? Au hakuna aliye bora zaidi ya Ndugai
Kwenye suala la mitizamo lilikuwepo kwa Sitta na Makinda lakini Hali kuwa migogoro na heshima ya bunge ilibaki ipoMigogoro au kukosana mitizamo na itikadi za kisiasa!
Sio siri tena kuwa bunge hili katika miaka hii mitatu tuu limepoteza heshima yake, kuaminika na limejaa migogoro ndani na nje kuliko mabunge yote yaliyo pita.
Tumeshuhudia kipindi hiki wabunge wengi wakitolewa nje Na kufungiwa kwa sababu za hivyo kabisa hivyo kuwanyima wananchi uwakilishi.
Haitoshi hayo, mbunge anashambuliwa akiwa kazini Spika anasimama upande wa wauaji kutaka mbunge afe kwa kumnyima stahili ya matibabu na kama sio kujitolea kwa wenye mapenzi mema basi lengo lake lingetimia.
Kuna aibu nyingi tuu, ndani ya bunge mbunge anatishiwa hajali huku mtu muhimu kama CAG anayumbishwa tofauti na katiba isemavyo.
Katiba na kanuni za Bunge viko wazi kuwa Spika akifedhhesha kiti na kuvunja maadili basi wabunge wanaweza kupiga kura ya kukosa imani naye.
JEE WAKATI UMEFIKA WACHUKUE HATUA KUMNG'OA KURUDISHA HESHIMA YA BUNGE?
Jee wabunge wa ccm wako radhi kuhimili aibu wakati wao kwa wingi wao wanaweza kumtoa huyo na kumweka mwingine wa chama chao? Au hakuna aliye bora zaidi ya Ndugai
Kama hamna imani na bunge, nawashauri msichukuwe na posho zake maana kwa mujibu wa lalama yenu sio fedha halali. Au?Sio siri tena kuwa bunge hili katika miaka hii mitatu tuu limepoteza heshima yake, kuaminika na limejaa migogoro ndani na nje kuliko mabunge yote yaliyo pita.
Tumeshuhudia kipindi hiki wabunge wengi wakitolewa nje Na kufungiwa kwa sababu za hivyo kabisa hivyo kuwanyima wananchi uwakilishi.
Haitoshi hayo, mbunge anashambuliwa akiwa kazini Spika anasimama upande wa wauaji kutaka mbunge afe kwa kumnyima stahili ya matibabu na kama sio kujitolea kwa wenye mapenzi mema basi lengo lake lingetimia.
Kuna aibu nyingi tuu, ndani ya bunge mbunge anatishiwa hajali huku mtu muhimu kama CAG anayumbishwa tofauti na katiba isemavyo.
Katiba na kanuni za Bunge viko wazi kuwa Spika akifedhhesha kiti na kuvunja maadili basi wabunge wanaweza kupiga kura ya kukosa imani naye.
JEE WAKATI UMEFIKA WACHUKUE HATUA KUMNG'OA KURUDISHA HESHIMA YA BUNGE?
Jee wabunge wa ccm wako radhi kuhimili aibu wakati wao kwa wingi wao wanaweza kumtoa huyo na kumweka mwingine wa chama chao? Au hakuna aliye bora zaidi ya Ndugai
Kuna Bunge linazalisha hela? Fedha ni yetu sisi walipa kodi.Kama hamna imani na bunge, nawashauri msichukuwe na posho zake maana kwa mujibu wa lalama yenu sio fedha halali. Au?
Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa kuweka comment baada ya kuwa umeelewa kilichoandikwa/jadiliwa.Kama hamna imani na bunge, nawashauri msichukuwe na posho zake maana kwa mujibu wa lalama yenu sio fedha halali. Au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukujibu wewe haiwezi kuwa ni kutoitendea haki nafsi yangu?Kama hamna imani na bunge, nawashauri msichukuwe na posho zake maana kwa mujibu wa lalama yenu sio fedha halali. Au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fyekelea mbaliNaunga mkono hoja, wabunge wote pasipo kujali itikadi zao wapige kura ya kutokua na imani na spika.
Sent using Jamii Forums mobile app