Dhambi zote anazo yeye.
 
Uko sawa kabisa, huyu ni dikteta hatari sana. Aliyeondoka alikuwa cha mtoto.
 
Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Bangi ( Bange ) uitumiayo sasa ya wapi?
 
Nyie now mnazingua sana
Yan mtu asipofanya yale mnayotaka nyie basi ni dikteta,
 
Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Sauti ya MUZIKI au RADIO tunaisikia kupitia SPIKA skuizi kuna zile wanaita Subwoofer afu kuna tule tudogo wanaita tweeter

Kumbuka ADUI mkubwa wa SPIKA ya RADIO ni MAJI na MASIKA ndio hii sijui kama itaisha salama bila SPIKA kulowana na SPIKA ikilowa tu inakufa haisikiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…