GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwenzetu umeshamjua Mlengwa hapa?Huyo anapaswa kupewa kesi ya uhujumu uchumi kwa kutumia hovyo kodi za wadanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzetu umeshamjua Mlengwa hapa?Huyo anapaswa kupewa kesi ya uhujumu uchumi kwa kutumia hovyo kodi za wadanganyika.
Dhambi zote anazo yeye.Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Uko sawa kabisa, huyu ni dikteta hatari sana. Aliyeondoka alikuwa cha mtoto.Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Mbona rahisi tuu Mkuu ni kama yale maswali ya kipima joto ITV...Mwenzetu umeshamjua Mlengwa hapa?
Bangi ( Bange ) uitumiayo sasa ya wapi?Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Mkuu dodoma kuna hospital kubwa ya vichaaMwenzetu umeshamjua Mlengwa hapa?
Hapana, anakera sana.Achana naye yule mshikaji
Nalog off
Nahisi Mleta Uzi 'ametoroka' jana huko.Mkuu dodoma kuna hospital kubwa ya vichaa
Du! ,yamekuwa hayo tena?Bangi ( Bange ) uitumiayo sasa ya wapi?
Asante kwa matusi yako.Nahisi Mleta Uzi 'ametoroka' jana huko.
Ni ya wapi hiyo Nachingwea au Ipogoro?Du! ,yamekuwa hayo tena?
Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Kutoroka tu 'Mirembe Hospitali' ni Tusi?Asante kwa matusi yako.
[emoji125][emoji125]Nahisi Mleta Uzi 'ametoroka' jana huko.
Sauti ya MUZIKI au RADIO tunaisikia kupitia SPIKA skuizi kuna zile wanaita Subwoofer afu kuna tule tudogo wanaita tweeterHuyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Sijawahi kukujeli hata siku moja, nashangaa kwa nini wewe umeamua kuchagua kufanya hivyo. Any way ni maamuzi yako mkuu.Kutoroka tu 'Mirembe Hospitali' ni Tusi?
We utakuwa nyumba ndogo yake nahisiKutoroka tu 'Mirembe Hospitali' ni Tusi?