Ndugai
1. Mirembe member full filed
2. The most expensive patient in the world that has not been totally recovered....;;;
3. Sufferer of drugs side effects due to enormous medicine taken for years
 
Halafu, Ndugai hatakiwi kusimama bungeni na kujiaibisha kwa kujibia barua bungeni.
Anatakiwa akiri kupokea kipeperushi kama alivyo kiita na kujibu kwa maandishi.
Chadema hawawezi kujibu kwa maneno ya kwenye bunge.
Huyu spika huyuuu... Lazima kuna shida kubwa sana.
Nasikia baadhi ya covid 19 ni vyakula vya wakubwa. Mambo ya aibu kabisa haya.
Yaani mna pindisha sheria kisa starehe zenu?? Kweli???
Halafu mnasema mna linda wanawake wasi nyanyaswe. Wakati nyie mna wanyanyasa kingono??
 
Hua ofisi ya Spika haina utaratibu ya kujibu barua anazoletewa? kwanini ofisi yake inashindwa kuwajibu CHADEMA kwa barua kama alivyoandikiwa.
Hana cha kuwajibu
 
HUKO CHADEMA NAKO KUNA SHIDA, AKINA MDEE WALIKATA RUFAA, HADI LEO CHADEMA WAMEKAA KIMYA!
Na sio lazima wasikilize, na Ndugai rufaa haimhusu na kwa wakati huu hao si wanachama, hivyo ni lazima afanyie kazi hicho kipeperushi kama alivyofanyia kazi viperushi toka vyama vingine, huyu anazoea kuvunja katiba, alifanya kwa Mwambe wa ndanda baada ya kutangaza mwenyewe kujitoa kwenye chama aliendelea kumtambua bungeni!
 
Umeingia mwenye Rekodi ya kuwa Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ktk Historia ya Tanzania tangu tupate Uhuru.

Mungu ainusuru Tanzania isije kupata Spika mwingine wa hovyo Kama wewe.

Ulitoa wapi ujasiri wa kumfanyia unafiki mama yetu Suluhu asiapishwe wakati ulijua fika Katiba ilimtaka awe Rais?

Yaani wewe Mh Ndugai, ulikuwa kwenye kikosi cha kamati ya Roho mbaya iliyokuwa ikipika majungu eti Mama asiwe Rais.

Yaani hili la wabunge wasio na Chama,uliowakumbatia ni dogo sana kulinganisha na tukio ulilokuwa ukifanya na wenzako.

Yaani huoni hata aibu,hao wabunge wana faida gani na wewe au na CCM?

Yaani umeifanya Tanzania idharaulike sana kimataifa kwa Tabia zako.

Mungu huwa mkubwa mno,wewe na wenzako kina kesi eti mlitaka kubadili katiba ili mwendazake atawale milele, halafu mnajifanya mna hofu ya Mungu, Aisee,Mungu hadhihakiwi, pamoja na yote hakuna ulilojifunza,bado umeshupaza shingo.

Tanzania ilikuwa inaheshimika sana kimataifa,wewe ni mmoja wa walioharibu sifa ya Tanzania.

Yaani unapindisha sheria makusudi kabisa bila woga wala hofu,halafu eti Ulisomea sheria.

I had a dream for you,if you won't repent,bad days are coming whereas teeth will be gnashed.
 
Huyo alisomea sheria wapi wakati kasomea choo cha nyumbu Mweka
 
ok
 
Kwa ku-declare internet mimi ni katibu wa mbunge toka moja ya majimbo ya mkoa Singida, kwakweli haya nitakayonena yatatoka katika sakafu ya uvungu wa moyo wangu.

Speaker Ndungai kuendelea kukumbatia wabunge wasiokua na vyama kinyume na katiba ya nchi huku akijua kabisa ni udhalilishaji wa mhimili wake na pia ni unajisi wa kiti chake. Hili linalochangia kwa kiasi kikubwa chama chetu na wala halina maslahi kwa chama na halina maslahi kwa taifa. Kama ni wenyeviti wa kamati mbili za hesabu za serikali wapo wabunge wa ACT na CUF, Ndungai asitutie aibu yawezekana kapokea rushwa si bure, ang'ang'ania kitu gani kwa waliokua kinamama wa CHADEMA? Kama kuna semi wake kule tujue moja.

Tunamtaka spika Ndungai Aachie kiti hafai apishe watu wenye maadili wafanye kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria ya nchi siyo lazima yeye awe spika. Asitishike watu kwa sababu yeye ana kinga ya kutoshtakiwa.

Ningeomba wabunge kwa umoja wao wajipange tuweze kuondoa hii sintofahamu. Sasa amechanganyikiwa anajibishana na kina Mama wa CHADEMA kwa sababu ya kiburi chake cha hovyo. Hili suala la ubabe wake muda si mrefu linaweza kutugeukia sisi wana CCM.

Spika aliyesema kua yeye ana faili lake hospitali Mirembe maana yake yeye ni kichaa. Hawezi kufanya kazi na Mama yetu ambaye ni mchamungu. Hili hatutakubaliana nalo kamwe. Lazima apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye na lazima wanaccm tulisimamie hili. Tukimwacha huyu mtu mbeleni atatusumbua sana.
 
Kweli kadharau na kusigina Katiba..

Lakini alifanya hivyo kwa Baraka za utawala wa ccm kupitia hawa:--
✓Jiwe
✓Bashiru
✓Polepole
 
Ndugai anashangaa Sharia za kijinga ambazo ni kichaa tu angeweza kuzipitisha. Anajiuliza alikua wapi wakati wanapitisha sheria chafu kama hizo? Nadhani mambo mawili, moja huenda anaumwa au legacy ya mwendazake inaisha nguvu.

Hili ni Bunge la CCM...je ni sharia ngapi za kijinga zimepitishwa na kuumiza Watanzania?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…