Huyu mzee anashidaa sehem fulan
 
Visu vya Hospitalini na Dawa mbalimbali za Kumtibu Mwanadamu ( hasa kwa Magonjwa yasiyotibika ) ili aendelee Kuishi kwa Matumaini kamwe havijawahi Kuuacha salama Ubongo wa Mhusika.
 
Ndugai anaona bunge limepoa kwa hiyo inabidi awe mchangiaji siku hizi hili angalau watu waone amshaamsha ndiyo maana anakuja na hizi kauli ili aonekane yupo

Ila hili bunge litakuwa la kihistoria la karibia ¾ ya wabunge wake hawatarudi bungeni baada ya uchaguzi
 
Marukanga au maru k yanamsumbua jobu
 
Ukiona hivyo ujue anakaribia kukata roho huyo
 
Huyu ndiye kiongozi wa chombo muhimu sana cha nchi yetu.

Kiongozi anayewaongoza wawakilishi wa wananchi, wabunge, ambao kwa kawaida wanapashwa kuwa watu wanaojitambua na kuelewa mambo mengi na muhimu; watu wenye busara wanaotazamiwa kufanya kazi yao kwa weledi ndani ya chombo kile.

Sasa angalia upuuzi huu unaofanywa na kiongozi wao, na hawana hata njia ya kumkanya wala kumwondoa asiwaletee aibu wenyewe!
 
Mkuu yaani ndo unajua wakati huu anao elekea kupona
 
Ukienda kwenye mazao ya misitu ndio utashangaa mpaka kesho, mti nilipanda mimi kwenye shamba langu ili kuukata natakiwa niombe vibali kadhaa kutoka Halmashari, TFS, mtendaji wa kijiji. Haya vyote hivyo umetimiza unakata mti wako kwa lengo la kuchongesha mlango au dirisha ikitokea unasafirisha hiyo milango toka wilaya moja kwenda nyingine taratibu zake unaanza na moja, wanasheria za ajabu sana.
 
Kwa kauli hii, kuna haja na umuhimu wa viongozi wakuu wa mihili mikuu kupimwa afya zao na akili pia kabla hawajapewa dhamana ya uongozi.
 
Ukiona mtu fahamu zimeanza kumrudi ujue Mr. God tayari ameshamsogeza karibu na wendazao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…