Huyu hafai kabisa kuwa kiongozi! Ni mnafiki, mchumia tumbo, mjinga na mpumbavu! Ni Tanzania pekee bunge linakuwa na spika hovyo na mburura kama hiki kipimbi!
Sijui tunaelekea wapi kama taifa, tulikuwa na rais wa hovyo, akaingiza mizizi yake ya uhovyo hovyo kila mahala mwisho wa siku taifa limerudi nyuma miaka60!
Ifike mahali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vitafutwe kwa nguvu ili mbeleni tuwe na uwezo wa kushughulikia wapuuzi kama huyu mzee
 
Kwani Spika ndiyo anayepitisha sheria au bunge lake lililooza ?
 
Mgonjwa huyu!
 
Alisha sema ana faili Mirembe
 
Huy
Buyu kweli huyu mwisho wa siku atakuja kusema hakuwahi kuwa sehemu ya bunge
 


Labda kuna ng'ombe wa jamaa zake wamekamatwa, huwa akikomalia jambo lazima ananufaika nalo kwa namna fulani
 
Huyu jamaa simuelewi kabisa lazima atakuwa Mgonjwa tu.
 
Inawezekana hata sheria ya bodi ya mikopo makato kua aslimia 15% ilipitishwa akiwa hajui Sasa kwa kua amejua Rai yetu Sasa ibadilishwe irudi ile ya zamani ya asilimia 8%
 
Inawezekana hata sheria ya bodi ya mikopo makato kua aslimia 15% ilipitishwa akiwa hajui Sasa kwa kua amejua Rai yetu Sasa ibadilishwe irudi ile ya zamani ya asilimia 8%
 
Kama Spika mwenyewe ndio alihusika kupitisha hizo Sheria halafu Spika huyo huyo leo Anazishangaa ni Wazi Sheria zote zilizopitishwa Wakati wa Utawala wa MAGUFULI zitawashangaza Watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…