Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Magwangala ni Christopher ni Dr wa hospitali ya Dodoma General!
Dr huyu aligombea na Ndugai katika kura za maoni za ubunge mwaka 2015!
Dr huyu alikuwa ni moto wa kuotea mbali,na alimpelekesha Ndugai,kiasi kwamba ili kumpunguza kasi,Ndugai alimvamia na bakora lake katika mikutano mmoja wapo!
Dr alichezea bakora za Ndugai mpaka akazimia!
Ndugai alipita katika kura za maoni!
Na Dr alipewa ukuu wa wilaya wa Meatu ili kupozwa maumivu ya bakora za kichwani za Ndugai!
 
Hatumuonei huruma huyo Ndugai. Kwani yeye alimuonea huruma yule jamaa aliyempiga bakora jimboni kwake wakati wa kuwania kuteuliwa na chama chake kugombea ubunge? Isitoshe, maslahi ya taifa ni mapana zaidi kuliko afya na hata uhai wake. Kama ana "stress" angebaki nyumbani ili mke wake amliwaze na wala siyo kuja kuharibu moja ya mhimili mitatu ya taifa kwa maamuzi mabovu namna ile. Huyu ni spika ovyooo kabisa.
 
Ngoja ninyamaze nisije nikakurupushwa na akina mods hapa
 
Ndugu yangu wee wakati wa Mungu haujafika. Tuwe na subira tu siku utakapofika hakutakuwa na sijaribiwi war a sirazimishwi. Just be patient. Time will tell
 
Mungu anamwona na malipo ni hapahapa,kwa kweli alimwonea sana mnyika ila Mungu ataona atakavyomlipa kwa uonevu huo.
 
hahahaha kwa hiyo mnamtaka Tulia ackson
 
Tukisema katiba ni mbovu mnakua wagumu kuelewa dats wahy inatokea watu kama Ndugai
 
Huwa anawahi kujihami na msemo wa sergeant at arm bhasi na wake ndugu wa KKK walivyo speed mpaka unawaonea huruma
 
Back
Top Bottom