Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Linaendeshwa kma kijiwe cha kahawa sokoni,vijembe,ubabe,matusi,dharau,mipasho,mikataba ya hovyohovyo,hiyo nguvu na pesa wanazotumia heri wangefuta vyama vya upinzani wabaki wao
 
Bunge la uongozi wa Ndugai ni growing media nzuri kwa Mh. Lusinde, Mh. Mlinga, Mh. Jah People, Mh. Shonza nk yaani ndio vinara wanaopewa airtime kubwa
 
Bunge la uongozi wa Ndugai ni growing media nzuri kwa Mh. Lusinde, Mh. Mlinga, Mh. Jah People, Mh. Shonza nk yaani ndio vinara wanaopewa airtime kubwa

Ina maana hili bunge ni la kwanza duniani kuongozwa na mgonjwa!
Vilaza na wachawi kama hawa wanamfurahia mwanga mwenzao.
kwa nini wabunge walimpa mwendawazimu dhamana ya kuwaongoza?
 
bunge la sasa limejaa vijembe, lakini sishangai huu ubaguzi na utengano mkuu wa nchi nae amechangia, mie naona kwa vile mamlaka anayo afute tu vyama vingi afanye anavyotaka yeye, kama atasikia kelele, lakini chuki, visasi na ubaguzi mkubwa ndio muasisi, sasa unategemea wadogo watafanyaje
 
Kinachoonekana, ni kwa wabunge wa upinzani kuzidiwa, hivyo kuamua matumizi ya vurugu kama njia ya kuonesha wanawaza nini; ila vurugu haijawahi kuwa suluhu, inaongeza matatizo.
 
Kinachoonekana, ni kwa wabunge wa upinzani kuzidiwa, hivyo kuamua matumizi ya vurugu kama njia ya kuonesha wanawaza nini; ila vurugu haijawahi kuwa suluhu, inaongeza matatizo.
The speaker is quite partial unless don't know qualities of a good speaker!!
 
Back
Top Bottom