Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Mmeshamaliza mjadala wa mbuzi ndani ya ndege sasa mmehamia kwenye mjadala wa Ndugai. Kazi kweli kweli.
Endelea kupiga makofi nyie si kazi yenu kushangilia ndio maana mkiambiwa kikokotoo kipya ndio sawa mnapiga makofi mkiambiwa hakifai mnapiga makofi sarakasi na kuandamana kupongeza sasa na hili ni sawa tu kwako shangilia maamuzi ya Supika
 
Tatizo ni shule ndogo, Spika ni nafasi inayohitaji mtu msomi na mweledi sana.
Huyu kilaza kapata tu kwasababu ya siasa chafu na za kijinga huko Lumumba.
 
Hili suala la Ndugai limenikumbusha kitu muhimu katika siasa za Tanzania.
Tunaongea au kumlaumu mbwa badala ya mwenye mbwa.
Kubweka kote huko, katumwa tu.
 
Ukweli ni huu

Dr.Assad yuko sahihi JOB NDUGAI NI SPIKA DHAIFU SANA KUWAHI KUTOKEA.Matokeo yake amefaya bunge nalo limekuwa dhaifu kupitiliza.Kiufupi kama anazungumzia mamlaka ya bunge kuingiliwa basi anamjua muingiliaji mkuu ni nani

Huyu Muingiliaje mkuu ndio anapaswa kuitwa kwenye kamati ila kwa sababu Ndugai ni dhaifu na anaamini kwamba kujikomba na kujipendekeza ndio msingi wa kufanikiwa kisiasa,

Haya sasa mwambieni akiniita kwenye kamati ya maadili anitumia na usafiri tena wa kueleweka na pia atanilipa kwa kila lisaa itakalotumia kumyuoneshaa udhaifu wake na bunge lake ambalo sasa ni bunge butu
 
Aman kwenu wakuu

Mimi bado msimamo wangu uko pale pale kuwa bunge letu ni kibogoyo na spika wetu ni zaifu sana na hafai kuwa hata mtendaji Wa Kata


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako Spika Ndugai: Bunge sio chombo cha mabavu. Bunge ni Taasisi iliyo chini yetu Wananchi na kwa Misingi ya uundwaji wake, Bunge linapaswa kusherehekea UHURU WA MAONI. Bunge lisidictate maoni ya watu/taasisi kuhusu uimara wake. Naam, Bunge letu ni DHAIFU.. summon me as well☹️
 
Back
Top Bottom