Nichoamini ni kuwa hao maaskofu wametumia diplomasia sana kutoa huo msimamo wao lakini ukapuuzwa. Hawa maaskofu hawapendi kabisa kuja hadharani kutoa msimamo kama waliotoa leo lakini inaonekana kuna watu watakuwa walishupaza shingo.

Kwa asieijua TEC ina wataalamu wa kutosha na huwa haikurupuki na watakuwa wamefanya utafiti wa kutosha na kutafuta taarifa za kutosha kuhusiana na huo mkataba halafu wakalinganisha faida zake na hasara zake mwisho ndio wakaja na hilo hitimisho la kuukataa huo mkataba.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu

Unajua elimu ya mapadri wewe? Jina lako linaendana na aliyeuza nchi enzi za utumwa kwa kuhongwa shanga na vioo vya kujitazama....Chief Mangungo wa Msovero na bado unasupport nchi kupigwa mnada ,kweli majina huumba.
 
Mjinga yeyote lazima awaze kama wewe maana hujui chochote maamuma wewe.
We jiliwaze na vitamko uchwara hivyo, DP world lazima waje kuchapa kazi, hakuna watu wenye njaa kali kama maaskofu wa Tec, ukiita askofu mmoja mmoja ukamnunulia mvinyo atakupatia Siri zote za kanisa mpaka wanavyolawiti watoto na ushoga wanaofanya, basi tu serikali inaamuaga kuwasitiri na aibu Ila kiukweli mule hakuna maaskofu!!
 
Unataka wote tuwasikilize Bakwata, imetoka hiyo mwambie akomaze shingo
 
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu sasa nyie mkijikusanya mnaounga mkono ni wachache Sana mnataka kulazimisha wananchi wote wakubali
 
Mtoa tamko mwenyewe Katibu wa TEC ana PHD ya sheria.
 
Bunge limesharidhia haturudi nyuma .endeleeni kutoa matamko ndio uhuru wa habari huo
 
Ishu sio waarabu. Hakuna mwenye chuki na waarabu. Ishu ni aina ya mkataba na vipengele vyake. Ccm ni ileile na watu walewale wapiga dili. Hata mwendazake alikua ni mpigaji aliyejificha kwenye kivuli cha unyonge. Ni vile kila mmoja hujaribu eneo la kucheza na akili za wadanganyika ili waweze kuwapumbaza na kuwin majorities huku wakitimiza dili zao za upigaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…