Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa

********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********




Ushauri kwa waliooa Single Mothers

********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********

********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********

******** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********
 
Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.

Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.

Wajibika Mama aishi.
 
Mkuu single mamas ambao wamefiwa asilimia yao ndogo saaaaaana
 
Kila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
 
Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu[emoji57]
Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti[emoji57]. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu[emoji9][emoji9]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…