Unaweza kuwa na ujumbe mzuri ila usieleweke sababu ya lugha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kujua kisheria Mali zangu na mke wangu zitamhusuje mwanangu wa nje ikiwa leo nitakufa, hilo tu ndio linaniwazisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kujua kisheria Mali zangu na mke wangu zitamhusuje mwanangu wa nje ikiwa leo nitakufa, hilo tu ndio linaniwazisha

Sent using Jamii Forums mobile app
braza wacha kuwa mvulana , be a Man, a man with responsibility.......unataka kuniambia mali zako zote mkeo anajua....sorry labda tuko tofauti......wanangu wana account zao za siri, mbali na ambazo zinajulikana na bi mkubwa, ambae kiukweli yuko fair mno, na ndie alitoa wazo.....kila mwezi tunawawekea kiasi.....nina nyumba ya kupangisha ina hati ya wanangu...hajui...kuna a lots of HISA, hasa za TBL....zinauzika sana....wacha zikue huko.....weka bank documents zote za muhimu zinazohusu wanao...waambie wale haswa nduguzo wa kike, dada zako unaowaamini kiukweli......watakuwa salama kabisa nna hakika.....nilifanya yote haya coz nimejifunza kwa wengine........
 
Samahani; hizo accounts; nyumba + hisa za siri za wanao ambazo mkeo hazijui ni za watoto wako wa nje au watoto wako na mkeo?+
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkome na kiranga Cha ngeda ya Nini kufuata watalaka wa watu, mxieeeeeeeeeeeeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi yule singo maza alipozaa mtoto wangu nikaleta mazaga madagaa,nyanya,vitunguu mara akaanza kumsifia baba corona mara oohhh kwa wakina baba corona nilipojifungua corona walichinja kuku kila siku mpaka miez mitatu mara mbuzi vitu kibao nikaiga hesabu nikasepa mwanangu kakua nimemchukua
 
Kumbe mzazi mwenzangu Bado ananipenda,ulipoachana nae alisema anaenda wapi?nitumie namba yake tafadhari[emoji122]jina lake ni colola nilimpa jina la gari sio huo ugonjwa sijui Corona !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…