T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Katika ulimwengu huu pasingekuwa na mwanamke pasingekuwa na vilio
Hapa inaonyesha kila tabu ya duniani sababu ya wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika ulimwengu huu pasingekuwa na mwanamke pasingekuwa na vilio
Shida nyingi zina uhusiano na mwanamkeKatika ulimwengu huu pasingekuwa na mwanamke pasingekuwa na vilio
Hapa inaonyesha kila tabu ya duniani sababu ya wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa huwa tunasema kila siku usifanye upuuzi wa kuoa single mother siku ikifika utajua hujui. You'll keep ignoring our teachings but the painful lessons will never be forgotten.
If your kid is not your girlfriend's first-born, chances are you are signing up for a long con and the relationship is not genuine. The thing I know about women, after they have their first child, any relationship and marriage after that is usually out of convenience/business.
In fact, most single mothers would never choose the weak guy they entrap if they did not have a child in the first place. After a series of pumps and dumps from the guys she admired, they realize that no reasonable guy would ever marry them with a bastard. So they do the next best thing, find a weak guy with the most resources and marry for the money/social status, not love. Smart on their part, dumb on the guy's part.
In this era, where women use the law to enslave men, marrying a single mother is the dumbest thing a man can do. Single mothers (almost all of them) marry primarily for resources/business.
That's why I advice guys to only marry childless women. It is not perfect and there are no guarantees, but the odds of being in a long con are acceptably low. Make sure you get a good deal. A childless and young woman (18-25). Anything less and the risks outweigh the rewards bigly.
Nataka kujua kisheria Mali zangu na mke wangu zitamhusuje mwanangu wa nje ikiwa leo nitakufa, hilo tu ndio linaniwazishausiyakaribishe mawzo bro...kuwa na misimamo dhabiti...haswa ikizingatiwa wewe ni baba...na ukiona kuna hitilafu mketishe muongee......muhimu ajue 50% ya hao watoto wake kama baba yao yupo inamhusu.... but kama hayupo.....apambane na yeye....kwa kumshirikisha shughuli yeyote ambayo itaingiza kipato halali......usimruhusu akaleta kidomodom...simamia thibiti na boresha mahaba yetu.......hakikisha unatafuta PESA kwa bidii...
Kauli mbaya kabisa hiyo''si nimezaa nae nitaachaje kumkumbuka?''! sitaisahau kauli hii
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16] tupe mkasa huo''si nimezaa nae nitaachaje kumkumbuka?''! sitaisahau kauli hii
''si nimezaa nae nitaachaje kumkumbuka?''! sitaisahau kauli hii
braza wacha kuwa mvulana , be a Man, a man with responsibility.......unataka kuniambia mali zako zote mkeo anajua....sorry labda tuko tofauti......wanangu wana account zao za siri, mbali na ambazo zinajulikana na bi mkubwa, ambae kiukweli yuko fair mno, na ndie alitoa wazo.....kila mwezi tunawawekea kiasi.....nina nyumba ya kupangisha ina hati ya wanangu...hajui...kuna a lots of HISA, hasa za TBL....zinauzika sana....wacha zikue huko.....weka bank documents zote za muhimu zinazohusu wanao...waambie wale haswa nduguzo wa kike, dada zako unaowaamini kiukweli......watakuwa salama kabisa nna hakika.....nilifanya yote haya coz nimejifunza kwa wengine........Nataka kujua kisheria Mali zangu na mke wangu zitamhusuje mwanangu wa nje ikiwa leo nitakufa, hilo tu ndio linaniwazisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani; hizo accounts; nyumba + hisa za siri za wanao ambazo mkeo hazijui ni za watoto wako wa nje au watoto wako na mkeo?+braza wacha kuwa mvulana , be a Man, a man with responsibility.......unataka kuniambia mali zako zote mkeo anajua....sorry labda tuko tofauti......wanangu wana account zao za siri, mbali na ambazo zinajulikana na bi mkubwa, ambae kiukweli yuko fair mno, na ndie alitoa wazo.....kila mwezi tunawawekea kiasi.....nina nyumba ya kupangisha ina hati ya wanangu...hajui...kuna a lots of HISA, hasa za TBL....zinauzika sana....wacha zikue huko.....weka bank documents zote za muhimu zinazohusu wanao...waambie wale haswa nduguzo wa kike, dada zako unaowaamini kiukweli......watakuwa salama kabisa nna hakika.....nilifanya yote haya coz nimejifunza kwa wengine........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkome na kiranga Cha ngeda ya Nini kufuata watalaka wa watu, mxieeeeeeeeeeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
married as single mom and single dad....means watoto niliokuja nao...Samahani; hizo accounts; nyumba + hisa za siri za wanao ambazo mkeo hazijui ni za watoto wako wa nje au watoto wako na mkeo?+
Aisee mim hapo hapo namtema Mara tu baada ya kumaliza hio sentensi''si nimezaa nae nitaachaje kumkumbuka?''! sitaisahau kauli hii