Nimekuelewa sana kaka mkubwa; transparency ni kitu cha msingi sana kwa wanandoa. Lakini nikupe hongera pia; how you handled that with maturity and wisdom; the good thing is you still maintained the peace of your family.

Nilichojifunza kwenye blended families nyingi; mzazi anakuwaga na hofu sana na future ya watoto wake wa nje; na usiri mwingi unaanziaga hapa. Usiri ambao unaharibu baadhi ya ndoa completely au ndo ile mnabaki kuishi kimachale. Nimejaribu kuvaa viatu vya mkeo; vimenipwaya lakini still naamini mkeo alipaswa akwambie kuhusu hizo assets za watoto wake; just kukwambia tu was enough. Ila ana bahati; she bagged herself a good man; angekuwa mwanaume mwingine hapo kingewakaaaa. Trust ni kitu cha msingi sana. It shall be well with your family
 
Mkuu umetema nondo kama zotee, duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukishamzarisha na wew watoto wako haina shida tena mtaish vizuri!!!!!
labda ushindwe kumzarisha labda hapo ndo kunaweza kukawa na tatzo.

Mfano umemkuta ana mtoto mmoja haraf wew ukamzarisha watano,,yaan wew lazma utaonekana una nguvu kubwa sana kwake na atakuheshm kuliko hata mzaz mwenzie,,,maana hata watoto wako ndo watakuwa na nguvu kwenye familia!! sasa tatzo liko wap??
 
Mi nimeoa singo maza maisha mazuri na ya amani....


Sent using Jamii Forums mobile app


Amani itakuwepo endapo Aliyemzalisha hana time naye.

Amani itakuwepo endapo hampendi aliyemzalisha.

Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha ni choka mbaya.

Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha anaakili na hapendi kuvuruga mahusiano yenu.

Vingine unajidanganya.

Mimi nimemzisha binti mmoja kutoka kanda ya ziwa. Nikamtelekeza kwa sababu za kiitifaki. Yule mwanamke ameshapata mwanaume mwengine wanaishi wote.

Cha ajabu Mwanamke ndio ananipigia simu akitaka nimcharaze tena. Anasema Mimi ni mzazi mwenzake hivyo anahaki ya kuniomba huduma ya penzi.

Mimi nilishangaa. Nikamwambia sitathubutu kumharibia jamaa aliyekutunzia heshima kwa kufuata hisia zako. Tuligombana sana ati namkatalia kumtooomba.

Yeye ananiita mume wake. Huwezi amini ndoa ile ipo mikononi mwangu. Nikiamua kupasha napasha muda wowote.

Lakini nimekataa huu mwaka wa pili kwa sababu ya heshima yangu kwa mshkaji ambaye hata hivyo simjui.

Hivyo Mkuu, usidhani upo salama sana. Kuna ndoa zinaishi kwa hisani ya Wababa waliozalisha wanawake mliowaoa.

Pia siri zenu zote na mambo yote utakayomfanyia wao wanatuambia. Mfano ni huyu niliyemzalisha. Akiudhiwa kidogo mashtaka lazima ayalete kwangu.

Mimi ndio namtuliza na maneno ya faraja anapoa.

Usicheze na wanawake Boss.

Nitaanzisha Uzi kuwahusu hao single mother. Case study atakuwa niliyemzalisha akaolewa na mtu mwingine.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sababu gani za kiitifaki.Hizi ndoa zina matatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio chai kweli? [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii situation naishuhudia kwa room mate wangu, mume wake yupo Dar, mzazi mwenzie Arusha kila weekend Arusha tu, Dar mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…