Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Watu hawaoi ili wazazi waridhike. Ila upo sawa Ni hatari kuoa mtu mwenye familia na mtu mwingine, inahitaji uwe mwanaume kweli kuweza kumtuliza. Wanaume wa aina hiyo wapo ila wachache, huku nilipo kuna mtu kachukua mwanamke aliyezaa na mwanaume watoto wawili na alikuwa anaishi nae. Kaoa kapeleka watoto shule za maana na jamaa anamuonaga mama watoto wake akipita tu na mgari mjini. Hata salamu hawezi toa, anatoa povu tu kuwa atalipiwa na Muumba, ipo siku atapata ila ndo hivyo mwanaume keshafanya yake.
Nimecheka huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muwe mnawazarisha watoto weng na wa kutosha kuliko ulimkuta nao ndo atamsahau mzaz mwenzie
 
Back
Top Bottom