Yaani jamii zetu za Kiafrika na single mother! Siku zinavyokwenda ndivyo zinawaona kama ni viumbe wapya kutoka sayari ya Jupiter!

Mungu awasaidie na awatangulie pia.
 
Yaani jamii zetu za Kiafrika na single mother! Siku zinavyokwenda ndivyo zinawaona kama ni viumbe wapya kutoka sayari ya Jupiter!

Mungu awasaidie na awatangulie pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio madhara ya kugegedwa na kuzaa kabla ya kuolewa. Wameyataka wenyewe.
Mungu kukusamehe atakusame ila madhara ya dhambia yako utakabiliana nayo tuu
 
Tatizo ni kwamba Tanzania ina Single mothers wengi kuliko wasichana. Mabinti wengi walioko Vyuoni wameacha watoto kwa bibi zao. Walioko mitaani ukiwaona wameongozana na watoto wao utadanganywa ni wadogo zao nawe utakubali maana tofauti ya umri ni ndogo, mwanamke amepewa mimba ana miaka 13 unategemea akiwa na miaka 20 (CHUO) mtoto wake atakuwa na miaka 7(STD I or II), wakiongozana kamq tu na mdogo wake. Au mwenzetu unadhani ongezeko la mimba mashuleni halina athari kwenye uoaji?
 
Waacheni singo mama wakuje kwangu, maana dunia inawaona wakosaji na bado inaendelea kuwazalisha kila leo.... faraja ni kwamba ‘mastaa’ wengi ni mazao ya singo mama.
 
Hili kwetu halina tatizo maana kwa mila zetu na mila za kiafrika zinaruhusu mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ila hakuna popote pale duniani panaporuhusu mwanamke mmoja kuwa na wanaume wawili.
Kwahyo kidume naweza kuoa na nikiamua kuongeza mwingine naongeza bila shida na bila kikwazo hata kama nina watoto 100.
Mtoto wa mwanaume mwingine ni wa familia nyingine na ukoo mwingine hata kama nimemuoa mama yake, kwa mila zetu hatambuliki.
Kwahyo wanawake punguzeni kuvua chupi hovyo maana inawashushia heshima na kuwafedhehesha wazazi wenu mbele ya jamii kwa kuonekana familia ya hovyo.
Na vip kuhusu kuolewa na masingle father's (yani wanaume wenye watoto) mila na desturi zenu zinasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣sawa muafrika tumekusikia, tutaendelea kuwa bikra mpaka tutakapo olewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…