Kila anaepinga wrongness katika uelezaji wa fact ni chadema au siyo?Ni kama chadema kusoma waraka wa CCM or kinyume chake. Ni ngumu kuelewa kama tayari umeshakaa katika position ya kupinga kila unachoelekezwa kuhusu jambo.
Wewe umeshachagua kukaa upande huo ulipo so endelea kuutetea. Mwisho wa siku sote tunajua kuwa Facts lakini kuna Ukweli. Don't mix the two.
Sent using Jamii Forums mobile app
Again... Upo narrow minded kwenye discussion. Dont be "word sensitive". Rejea kwenye ajenda yetu, usiingize maswala ya politics za vyama hapa muda huu, hiyo chadema nimetumia kama mfano, sijakuhusisha na mambo ya chama hata kidogo.Kila anaepinga wrongness katika uelezaji wa fact ni chadema au siyo?
Nice comment [emoji484]Acha kutetea mambo ambayo haujui source ni nini. Mimi nakwambia hivi nina experience na tabia na mwenendo wa wanawake sababu nimeishi nao na marafiki zangu wa karibu wameishi nao pia....
So ninachokizungumza ni something from experience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo yako hayo ambayo ni kutokana na uzoefu wako utawapoteza wengi Sana baba.. punguza kulialiaAgain... Upo narrow minded kwenye discussion. Dont be "word sensitive". Rejea kwenye ajenda yetu, usiingize maswala ya politics za vyama hapa muda huu, hiyo chadema nimetumia kama mfano, sijakuhusisha na mambo ya chama hata kidogo.
Kimsingi haujajipanga kwaajiri ya constructive discussion rather umejiandaa na argument. Thats not professional and civilized at all.
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa
********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********
**********Ushauri kwa waliooa Single Mothers**********
********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********
********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********
********** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********
mama ntilie wa kinyaki ndo nani?Hujampata Single Mother
aliyejaaa pesa huo usingo Maza hutauona. Tizama Ankali au yule dogo alieoa yule Mama ntilie wa kinyaki wanakula maisha kushinda Profesa wa Chuo mwenye mi-PhD mpaka kwenye ugoko. Kikubwa kujituma, pumzi pia upende mwanae japo kinafiki ili ATM iendelee kutema fuba
Kwa bahati mbaya sinaga X...... all of them still wapo kwenye my contacts list and wapo active.....Kwa mawazo yako hayo ambayo ni kutokana na uzoefu wako utawapoteza wengi Sana baba.. punguza kulialia
Mbona unahasira hivyo..?tulia na shusha pressure.Izo nifkra zakishamba mno
Oi!!nitashukuru kama nitakwepa na balaa hiliHata wao hawakutaki pia, ...
Oi!!nitashukuru kama nitakwepa na balaa hili