haya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..
Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
Uzuri ni kwamba yanawarudia wenyewe, wanavuna walichokipanda.Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Ma ex wetu ndo nyie nyie wanaume.Sasa mbona hata mkiolewa hamuachi tabia mbovu za kupigwa bolo na ma EX wenu.
Kwa ufupi tu nijuavyo mm na uzoefu nilionao kwa viumbe hawa ni kwamba mwanamke ukimzalisha hamuwezi kuachana Kama mwanaume utahitaji kuendelea nae hata kama kaolewa na nani,kuachana nae itatokana na msimamo wako ww baba wa mtoto kuto kumuhitaji tena kimapenzi na pia busara yako kujua unacho mfanyia mwenzako siyo kizuriWe nae itakuwa sijui ukoje yaani nimekutafakari sijapata jibu. Mke wako kabisa wa ndoa anakwambia maneno kama hayo? Kaanzaje yaani? Ni mkeo halali au mmeokotana?
Pia msisahau kuwafumdisha watoto wa kiume kuwa wababa bora, jamiii imekazana kufundisha watoto wa kike zaidi kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla, tunawasahau watoto wetu wa kiume ambao ndio vichwa vya familia.Mhu hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.
HahahahMnaambiwa daily hamsikii
Halafu akitokea wa kukuoa ndio unamtenda!?Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Ni sawa, nilikuwa nazungumzia kwa upande mwingine. Mke hadi afikie hatua ya kukutamkia maneno kama hayo ujue wewe mume ni dhaifu sana.Kwa ufupi tu nijuavyo mm na uzoefu nilionao kwa viumbe hawa ni kwamba mwanamke ukimzalisha hamuwezi kuachana Kama mwanaume utahitaji kuendelea nae hata kama kaolewa na nani,kuachana nae itatokana na msimamo wako ww baba wa mtoto kuto kumuhitaji tena kimapenzi na pia busara yako kujua unacho mfanyia mwenzako siyo kizuri
Hii kwel. Tena bora ss vijana wa sahv tunajitaidi hivyo vizaz vijavyo ndio vitakuwa hatar sanaPia msisahau kuwafumdisha watoto wa kiume kuwa wababa bora, jamiii imekazana kufundisha watoto wa kike zaidi kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla, tunawasahau watoto wetu wa kiume ambao ndio vichwa vya familia.
Ndio maana vijana wa kiume wa sasa hivi ni majanga..hawawezi kusimama imara kwenye ndoa zao na hawana uwezo kufanya maamuzi
Muachane kwa amani kabla ugomvi haujaanza maana mkiendelea we jamaa utaishia jela
Siku hizi sio mchumba tu, hata mke hatusomeshi. Kama alishindwa kusomeshwa na wazazi wake hiyo imetokaUshapigwa limbwata ndo maana unashindwa kufanya maamuzi magumu...piga chini utakufa kwa pressure...alafu mabaharia kwenye vile vikao vyetu moja ya agenda zetu tuliazimia kuto kuoa ma single mama ikiwa ni sambamba na kutosomesha mchumba..we umeanzaje????
Kwamba.."ANAENDA KUTOA-MBWA NJE"Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
Hutamweza huyu...anajielewa......wew endelea kuchukua wavaa maderamkuu ivi umeolewa? Ukuje uniliwaze basi nateseka sana
Eti mwamba wangu![emoji23][emoji23][emoji23]......Rafiki una mbwembwe sanaNi sawa, nilikuwa nazungumzia kwa upande mwingine. Mke hadi afikie hatua ya kukutamkia maneno kama hayo ujue wewe mume ni dhaifu sana.
Hivi naanzaje kwa mfano? Mimi huyu huyu nimtamkie huyu mwamba wangu maneno kama hayo?[emoji848] Hata in my dreams nashindwa kufikiria nini kitatokea. Kimoyomoyo may be..
Yani apotezee aendelee kuishi nae??Ushauri ni kuacha kumfuatilia utaishi kwa amani fanya mambo yako, halafu sijui kwanini wanawake wahuni huwa wanapataga wanaume waaminifu sana
haya mkuu nimekuelewaHutamweza huyu...anajielewa......wew endelea kuchukua wavaa madera
Ha haaa imenifikirisha sanaEti mwamba wangu![emoji23][emoji23][emoji23]......Rafiki una mbwembwe sana