Haya majibu ni ya kijeuri, kifedhuli na yamejaa dharau!! Piaga chini umbwa hiyo, haijui thamani ya ndoa
 
Hivi siku hizi wanaume wameenda wapi jamani,kha!Yani unakubali mkeo akampe x mzigo halafu bado awe na sifa za kuwa mkeo.Mnakwama wapi baadhi yenu?
 

Ni kati ya mambo haya:

1. Anakulisha na wewe ni zoba.
2. Ni mchawi na kakudhibiti.
3. Hauna akili timamu!

Usitafute faraja, tafakari haya maneno yangu Halafu kama unaona bado una sababu ta kuishi naye, then ni kweli haiishi akimpa mara moja!
 
Mkuu na majibu hayo huyo mwanamke bado karibu yako hadi sasa?

Tatizo huwa tunakaza sana vichwa ila hivyo ndivyo walivyo!
 
Hakuhudhuria kikao, alizuiwa na singo maza wake.
 
duuuuuuuuuuhhh
 
Single Mother ni habari nyingine Mkuu, kuna mmoja jirani yangu kapigwa mimba na jamaa 4yrs ago na jamaa akaikana mimba mpaka Leo hajawahi kutoa hata 100 ya matunzo. Lakini akitaka K anapewa na bado akishaliwa anaambiwa huyo mtoto si wangu, ananuna lakini ukiisha mwezi anatoa K tena.
 
Sikubaliani na ushauri huu. Utakufa bure kwa kuishi maisha yasiyo yako. Kama mmeshindwana muachane kwa amani tu. Kwa hayo majibu aliyopewa jamaa hamna ndoa hapo hata mkeo akiwa na kichaa hawezi kukujibu hivyo labda uwe unamtegemea kwa kila kitu na huna jinsi ya kuishi bila yeye
 
Mwanamke wa kuwa na hizo guts ni style ya Shishi ambaye ana uwezo wa kufuga dume ndani. Otherwise hakuna namna ingine mwanamke anayetunzwa na mwanaume alete ngendembwe.
 
Hahahah atakuwa analelewa maana huo ni zaidi ya u Zowber,😂
 
Hihihihihi fedhea iko njiani😂!!! Hivi sielewi kwanini vidume waaminifu wenye mapenz ya dhati huwa tunaangukia kwa malaya wabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…