Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Haya majibu ni ya kijeuri, kifedhuli na yamejaa dharau!! Piaga chini umbwa hiyo, haijui thamani ya ndoaHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"kwani nikimpa inaisha?"
hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi nae kama hakujatokea kitu chochote?