Tulikubaliana ukitaka kuoa single mother hakikisha mzazi mwenzake alishazikwa otherwise kupasha kiporo hakukwepeki kwao...


#dumesuruali...
Tena ukashuhudie na kaburi lake kabisaaa ujue kama ni kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unawatoto wangapi na huyo mwanamke?
 
Ni mbwa......

Lakini wapumbavu zaidi ni wale wanaodiriki kubeba hawa mbwa yaani ni zaidi ya wapumbavu!inachukiza sana!
 
Nani kakudanganya hiyo ni afueni ya huyo mwanaume, sasa mtu kashashindikana, anatakiwaa awe busy asiwe anamchunguza awe busy na ratiba zake
Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..

Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
Huyo anatunywesha chai isiokua na sukarii...hakuna mwanaume wa kitanzania wanamna hiyo,mida hii kuna mtu angekua mochwari mwingine jela...joyce kiria angekua kashaandika magazeti yakutoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..
...............Tatizo lako unafanya ushabiki,wewe ni mwanamke unazo njia zako za ku-deal na shida zako ambazo ni “kupiga kelele hovyo na kulia” siyo mwanaume wanaume tunazo njia zetu za ku-deal na shida zetu na wengi wetu tunajijua hatupendi kupigizana kelele hovyo especially na jinsia pinzani ndo maana tunafanya aliyoorodhesha jamaa hapo juu,kujibizana na mwanamke man to man ni risk kubwa unaweza ukaamkia jela kesho maana wengine hasira zetu zipo mikononi.

Na issue ya huyu dogo hapa akikaa humo ndani kwa maneno ya huyo malaya huoni hatari anaweza kutafuta junia la mkaa yakawa mengine?
 
Achana nae kistaarabu tu mkuu ili akampe kila siku sio mara moja pekee
 
Haya mambo ya kujidai mnaweza kusolve matatizo yaliyokimbiwa na mwanaume mwenzio haya ndio malipo yenu.
Vumilia tu mkuu.
 
Inaonekana mpole sana mkuu kaa hivyohivyo mwisho wa siku utaletewa mwanaume mwenzio utashushwa kwa kitanda chako alale yeye na mwanaume wake
 
Ila mpaka huyo mwanamke anakujibu hivyo ujue kashakuona dhaifu...khaa!! Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…