Hahahhah sijui hawa wanaume wa kuwajibu hivi wanawapataga wapi
 
Kuwafundisha watoto kuwa ngangari ndio lazima. Mie mwanangu sitaki awe legelege.
Wazazi wa sasa wengi huo mda wananao bas!? Mtoto siku nzima anashinda na dada wa kaz wazazi anaonana nao usiku tu tena wengne anawasikia asubuhi wakiwa wanaenda kazn
 
UnaweZa ukamtingisha mwanaume kweli kabisa hasa ukijua anakupenda...ila ukifika hatua ya kumwambia Kwani nikifanya Mara Moja na jirani ...inaisha.

Huyo mwanaume umemuona fala kabisa yaani NIWAKUTEMEA mate usoni..akalia
DEMOKRASIA KWENYE KUSIMAMIA WELBEING YA NDOA YANGU KAMA MUME SIITAKI KABISA...

HUO UWEZO WA KUNILOPOKEA MANENO YA KIPUMBAVU NA UJASIRI HUO UNAOUENGELEA WAPI LABDA....

NTAKWAMBIA NJOONI MFANYIE HAPA NDANI...
 
Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
Wale wale angesema kamtembeze kichapo kwa kosa hilo ungekuwa wakwanza kumshutumu mkatiri inatakiwa mkafanyiwe maombi wadada
 
Yaani ww mke wako anakwambia nampa mara moja ananisumbua? Kaka ningetoa kipigo.. fungasha.. narudisha kwao.
Huna mke hapo ndugu. Narudia huna mke.

Mke anaejielewa hawezi maambia mume wake maneno ya kipumbav hivyo. Tena kwa kujiamini....
 
Wale wale angesema kamtembeze kichapo kwa kosa hilo ungekuwa wakwanza kumshutumu mkatiri inatakiwa mkafanyiwe maombi wadadaView attachment 1629825
Huyu kupiga hawezi, kuongea hawezi na kumfukuza hawezi..

Alichoona anaweza nikuja kulaumu masingle mother kwa matendo ya huyo Mke wake..asie na chembe ya Aibu..

Sijui.kama huyo Dada hata anawazazi atakua alimuokota tu kwenye danguro la karibu.
 
sasa na wewe jamani, wakiambiwa wanaume watoke mbele na wewe utatoka kweli? yani mkeo anachepukA mbele ya macho yake tena kwa nyodo anakujibu kwani nikimpa kitaisha, alafu unakuja jf kutafuta msaada? aisee huyo dada no wonder anakudhau kwa kasi ya 10G
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
Kishindo Cha Awamu Ya Tano

Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!!
mkuu umenichekesha sana by the way nileteeeni gwajima nileteeeni gwajimaaa
 
Mpaka unajibiwa hivyo ujue. 1. Huna hela na unalelewa na huyo mwanamke so hakutegemei kwa chochote 2. Umemuonesha udhaifu wako so anautumia kukuadhibu. Mwanaume uliekamilika huwezi kujibiwa hivyo na mke wako. Hata wanawake wanaochepuka huwa wanaficha sana ili waume zao wasijue lakini wewe ndugu yetu hufichwi kitu chochote so wewe ndio una matatizo. Achana na huyo mwananmke coz kuna mengi makubwa atakuletea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…