Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahhah sijui hawa wanaume wa kuwajibu hivi wanawapataga wapiNi sawa, nilikuwa nazungumzia kwa upande mwingine. Mke hadi afikie hatua ya kukutamkia maneno kama hayo ujue wewe mume ni dhaifu sana.
Hivi naanzaje kwa mfano? Mimi huyu huyu nimtamkie huyu mwamba wangu maneno kama hayo?[emoji848] Hata in my dreams nashindwa kufikiria nini kitatokea. Kimoyomoyo may be..