hapo huna mke kabisa
hiyo ni dharau ya hali ya juu
achana nae aendelee na huyo anaempa mara moja

jiulize kwa nn akufanyie hivyo, au wewe ni mwanaume suruali maana na sisi wanawake tunaonesha mno dharau kwa mwanaume asie na hela ndio unaweza kumjibu utakavyo na kushea penzi
 
Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
huyu mwanaume inaelekea analelewa na mke wake.
mwanamke akimlea mwanaume huwa anamchoka na anamfanyia vitimbwi.
 
exactly
 
Aloo mmmh nilivyovurugwa hivi ningemvuruga respectively sio kwa majibu hayo...kuna rafiki yangu ana kauli moja akishakuta mwanaume anaendeshwa na mwanamke basi urafiki unakufa,maana hawezi kuwa na rafiki shoga!!!
 
Mwenza ukisikia sehemu yupo wa hivyo nishtue, namtaka
Kwakeli unajipigia TU limwanaume fimbo za matako...Tena unamwabia lala chini Mshenzi Wewe...mwenzako katoa hela ya mboga tunakula Wewe unakuna pumbu...unamtandika vibaya..ukimaliza anakuomba msamaha[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wanaisha ati
 
Kwakeli unajipigia TU limwanaume fimbo za matako...Tena unamwabia lala chini Mshenzi Wewe...mwenzako katoa hela ya mboga tunakula Wewe unakuna pumbu...unamtandika vibaya..ukimaliza anakuomba msamaha[emoji3]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We kitoto nikukukamata nitakuchapa nazo usoni hizo unazozitaja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanaume Kuna namna ukijiweka kwa mwanamke wako atakua anakupa majibu

sampuli ya mke wa mtoa mada,yani mimi mke wangu unanijibu "nampa tu mara moja" hiiiiii

kitu yangu mimi uniambie unampa tu mara moja,haki najiskia kutukana tusi moja hiloooo...
 
Sema huyo mwanamke akili zake fupi sana
siyo mwanamke wakuishi nae
Nadhani sio kila mwanamke ni wakuoa wengine ni mapambo tu ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…