lumimwandelile
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 308
- 286
hapo huna mke kabisaHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
hiyo ni dharau ya hali ya juu
achana nae aendelee na huyo anaempa mara moja
jiulize kwa nn akufanyie hivyo, au wewe ni mwanaume suruali maana na sisi wanawake tunaonesha mno dharau kwa mwanaume asie na hela ndio unaweza kumjibu utakavyo na kushea penzi