Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Acha umbea,acha kufatilia maisha ya watu je huyo rafiki yako hachepuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea,acha kufatilia maisha ya watu je huyo rafiki yako hachepuki.
Hata usawa pia haupo hapa duniani
Wewe ni mwanaume wa ukweli!Ukweli ndo huo mzee
Mwanamke ukisha zaa nae, hata ni wewe huwezi kumuacha. Kuna muda mna misiana.
Yaani kwa mtindo huu acha single mother wapambane tuu na hali zao.
Labda bwana awe keshapigwa chepe (danjaring)
[emoji3][emoji3] ukweli mchungu mkuu. Tunayaona sana humu uraianiWewe ni mwanaume wa ukweli!
Naona wengi humu ni feminist na maparody tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache waoe wauone moto[emoji3][emoji3] ukweli mchungu mkuu. Tunayaona sana humu uraiani
Ningependwa niambiweIngekuwa wewe unafanyiwa hayo ungependa uambiwe au ukaushiwe?
Jibu unalo.🚶🚶
Hii comment umeitoa kwa uchungu sana
Ungeyajua maumivu ya kugongewa usingekuwa na majibu haya
Mbona umeongea kwa uchungu sana mkuu... Pole bana dunia changamoto na maisha ni hatuaUngeyajua maumivu ya kugongewa usingekuwa na majibu haya
Nayajua mkuuMbona umeongea kwa uchungu sana mkuu... Pole bana dunia changamoto na maisha ni hatua
Kwanini ume bold hayo maandishi mkuukipendacho roho hula nyama mbichi, umalaya ni hulka tu. we fall in love by chance, we stay in love by choice.............NIULIZE KWANINI NIME BOLD HAYO MAANDISHI NTAKUPA JIBU.