Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mbona sasa wewe ndio 'jobless'?

Huo muda wa kumchunguza mwanamke wa mwenzio ungekua umezalisha kitu,

Ps: usipende kufukunyua mahusiano ya watu, waweza kuta rafiki yako amebariki kabisa mahusiano ya huyo 'six packs' na mkewe.
 
Una muda sana aisee.....

Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!

Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!
Abadani
Katuuu
Kamwee
Hata iwejee
Piga ua
Hata itokee nini
.......SIWEZI KUOA SINGLE MOTHER.
Na kwahuyo rafiki yako Time will tell
 
Mkuu, kuna tofauti kubwa kati ya "umalaya" na being a "single parent"
Kwaleo naomba niishie hapa...
Umemjibu vzr sana mm nashangaa why mnatusema tulio oa single maza mbn mnatusema sana aisee kila mda mm nimeoa single maza am proud with my wife Lilian nilimkuta akiwa single mother tuna watoto 7 ukijumlisha na wakwake tupo kwenye ndoa almost miaka 19 now na tumepishana miaka 2 tuu nimemuoa akiwa na miaka 17 tuutayari alikuwa na mtoto wa miaka 3..

Mimi na huyu mwanamke tuna story ndefu sana aisee alipewa mimba akiwa na umri wa miaka 14 tu tulioana tukiwa wadogo sana alipewa mimba akaacha shule alirubuniwa na house boy wao imagine akacha shule nilivyomuoa kipindi icho ana miaka 17 nilimsomesha akasoma kwa kuunga unga now ni nesi wa hospital moja ya serikali uku njombe analea watoto wangu vzr tuu na tunaishi vzr tuu cjawai ona baya lolote kwangu hana tabia za kimalaya c muhuni ni mwanamke wa kibena mwenye heshima zake.

I love her aninijali sana uwezi amini tokea 2001 mpaka leo tupo pamoja na tuna watoto wakubwa sana iyo yote ni neema tuu ya Mungu mtoa mada ngoja nikwambie kitu umalaya wa mwanamke upo ndani yake unaweza ukakuta mwanamke co single naza lkn ni malaya balaa na ukakuta ni single maza lkn sio malaya hata

Kumbuka upside down kwenye maisha uwa zinatokea kuwa single maza sio umalaya au sio kupenda ni maisha tuu kwaiyo bac usiwabeze na kuwambia watu wasioe single maza uyo rafiki yako kaoa malaya mwanamke awezi kukuona unakitambi eti ndo asikupende uyo ajakupenda kwa dhati mwanamke anae kupenda kwa dhati awezi kukusema eti mm sipendi kitambi..

ACHENI KUWASEMA SINGLE MOTHER NI WANAWAKE WAZURI TU,KUWA SINGLE MATHER SIO KUWA MALAYA.
 
Hongera tele zikufikie, na pia fikisha salam zetu nyingi kwa mke wako pendwa Lillian.....
Nami nafurahisa sana maisha na mke wangu mpenzi alienikuta nikiwa singo baba wa watoto kadhaa na sasa tuna jumla ya watoto saba....
 
Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.

Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.

Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.

Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.

Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.

Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?

Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu wewe ni mbea sana kusema ukweli, yani hadi ukajenga ukaribu na house ukaanza wafuatilia, huo muda unaupata wapi. Ila theme ya story nimeipata namimi sitothubutu
 
Tafuta mtu mzima ili amweleze jamaa kwa hekima, wakati huo wewe tafuta uthibitisho zaidi.

Ikiwezekana andaeni mazingira ili jamaa aje mwenyewe athibitishe.

Kwanini kaka unaficha jambo hili, ungefichwa wewe je?
 
Hongera tele zikufikie, na pia fikisha salam zetu nyingi kwa mke wako pendwa Lillian.....
Nami nafurahisa sana maisha na mke wangu mpenzi alienikuta nikiwa singo baba wa watoto kadhaa na sasa tuna jumla ya watoto saba....
Asante bro
 
Msioe malaya achana na single mother na hadithi nyingine...

Usioe malaya simple

Kama haupo ready for complications za kuishi na mwanamke mwenye mtoto kwa baba mwingine usioe..

Ila final ni usioe malaya.
 
Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.

Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.

Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.

Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.

Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.

Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?

Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unampenda mlengeshee basi ili aamue yeye mara zote tunasaidiana.
 
Mi nashauri hata usimwambie kausha tu ipo siku mambo yatajulikana tu. Afu huo ushauri kwa wanaume wenzio sidhani kama ni sawa single moms wengi tu mbona wanajiheshimu huku mitaani mwetu why wasiolewe?, akikosea 1 si wote bana, kuna ambao si single moms ila ndiyo CV zao chafu bora hata hao. Wanaume oeni mtu unayependana naye na mmechunguzana vya kutosha whether single moms or siyo mtadumu tu🙏
 
Kabisaa mwanaume mzima tena rijali unakua buzzy kufatilia maisha ya ndoa ya rafiki yako lol? Heeeeh mbna mapya haya mweeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mbona sasa wewe ndio 'jobless'?

Huo muda wa kumchunguza mwanamke wa mwenzio ungekua umezalisha kitu,

Ps: usipende kufukunyua mahusiano ya watu, waweza kuta rafiki yako amebariki kabisa mahusiano ya huyo 'six packs' na mkewe.
Being jobless it's not a disease or disaster but temporary life situation!
Speaking of jobless every time means inferiority complex meaning you got no job!
I wish you could know what I do and what I have you motherfucker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom