Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.
Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.
Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.
Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.
Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.
Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?
Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.
Sent using
Jamii Forums mobile app